Stori tamu sema umenikera hapo kwenye mifuko ya mbegu za kisasa yaani unapeleka mbegu za kisasa kijijini wakati huko kuna mbegu za asili, kwa hiyo unaenda kuua mbegu za asili ili iweje? Kwamba uonekane wa mjini sana au ili upate faida nyingi bila kujali athari kwa watumiaji..
Dah huu umjini utatufikisha pabaya
HAYO MA GMO HAYAFAI