geofreybenaldo
Member
- Oct 7, 2015
- 11
- 1
Ccm wemepata shida sana wkt wa kampen kwa sababu ya huyu fisad hakika huyu MTU siyo wa kumchezea ktk siasa ni hatari hata Dr wilbrod silaa angegombea ccm na yeye ccm bado uwezekano wa kuanguka Dr ulikuwepo kutokana na nguvu yake huyu mtu