Uko wapi baba?

Kwa nini kuna mentality ya mtu mzima wa miaka 25 kuonwa mtoto? Kwa nini huyu "mtoto" hakumtafuta baba miaka yote mpaka anakuwa 25? Hata akimuona baba na kugundua baba yake hapendi hiki anapenda kile ndo aanze kumlea akiwa na miaka 25?

Hatujamwita mtoto..ni binti mtu mzima na ni wakati muafaka anaopaswa kumtafuta mzazi wake.
 
Pole ndugu yangu, mwombe mungu atakuonesha tu ila mwambie mama yako kama baba yako anao ndugu wengine ili uweze kumtafuta dad wako kwani mzazi ni mzazi hata kama alikutupa ipo siku atakutafuta kwani damu nzito kuliko maji
 
Undugu kufaana, usambe kufanana.

Hatafuti wa kufaana anatafuta kile kilicho kizito kuliko maji!!!!!
Angekuwa anatafuta wa kufaana angemtafuta wakati anasoma..anytime alipokuwa mdogo for varied reasons kama mama labda kumtesa, au kukosa uwezo wa kujikimu..
Lakini hii ya sasa is more of identity search...damu nzito ndugu yangu acha tu!!!
 
Malezi ya wazazi wote wawili yalikuwa yanahitajika zaidi huku ulikotoka kuliko unakokwenda. Sijui kwa nini mamako anapokuambia babako alifariki hutaki kumuamini wakati amekulea kwa zaidi ya miaka ishirini sasa akiwa peke yake. Hivi ni yupi anatangulia kuwa na uchungu na mwingine.... mzazi kwa mtoto au mtoto kwa mzazi??? Kama yuko hai na hakukutafuta tangu ukiwa na miezi sita unadhani ukimpata ndo itakuwaje??? Tena mtoto wa miezi sita ambaye hujawahi kumtia machoni hadi anafikia miaka 25 utamtambua ? Ukimpata akakukataa kwamba hakujua? Na kweli hakujui ...any way mtakwenda kwa DNA test. Ili iweje? aje atie saini kwenye cheti chako cha ndoa?
 
@Prisss,
nakuona online hebu njoo and shed some more light into this topic u started...!!!
 


Issue ni kujua huyo mtu(BABA) anakaaje ama ni mtu wa aina gani, sio kwa sababu ya 'MAHITAJI'!!!!!!
 

Identity haitafutwi kwa sperm donor, unless na wewe unataka kuwa sperm donor.
 
I met my biological mother when I was 17. It wasn't anything like I expected, but it was a worthwhile experience, at least to answer all those questions that I had. People who have grown up with their biological parents will never understand the need to know.
 

Nakuunga mkono
kuna mambo meengomno ambayo mtu anaweza 'kurithi' bila kujijua kuwa amerithi
mengine ni biological zaidi
unakuta kumbe his or her biological father alikuwa left
handed na yeye yupo hivyo au magonjwa serious ya kurithi na tabia pia
its good to find out
 

Pole King'asti, u talk like someone who pass through alot of ....(Worse) before!Mpaka kaja hapa jamvini it means n bora zaid kumfahau kuliko kuto....
 

Baba Enock, my Grand fadher in assumption, pliz unaweza kunifafanulia kidogo kuhusu hiyo familia ya Enock Rugangila
tafadhali? Alitangulia mbele ya haki akiwa wapi? Ni nchi gani hiyo aliyokuwepo ambapo mwalimu Nyerere hakupendezwa nayo? tafadhali naomba nifunulie.

Ni dhahiri nitaendelea na maisha yangu kwa namna yeyote ile, lakini kujua kuhusiana na hili kutayafanya maisha hayo yawe meaningful zaid
 
Mama mwenyewe aliniacha nikiwa mdogo nimelelewa na bibi kuanzia nikiwa na miaka mitatu coz mama aliolewa na huyo baba yao na wadogo zangu mi nikabaki kwa bibi na babu ndo aliyeniandikisha shule nimekujakuishi na mama tayari nikiwa na maisha yangu
 
Thanks
 
Mama mwenyewe aliniacha nikiwa mdogo nimelelewa na bibi kuanzia nikiwa na miaka mitatu coz mama aliolewa na huyo baba yao na wadogo zangu mi nikabaki kwa bibi na babu ndo aliyeniandikisha shule nimekujakuishi na mama tayari nikiwa na maisha yangu
Kiranga come read this...!
 
Last edited by a moderator:
Kiranga come read this...!

What makes you think I haven't?

Look, it's natural for one to want to know her father.

I am just keen on being a realist and not setting her expectations up, a father who has had no contact for all these years is not much of a father and may actually prove to be a negative influence on the daughter's live. In my opinion she should spend time to re-acquint herself with her mother, whom apparently she hardly know as supposed earlier.

She can go and look for her father all she wants, but if the father turns out to be a selfish prick, she can't say people did not warn her.

Of course there is always the unforeseen, which may validate the opposition camp hoping for the miracle of a good ending.

Or simply satisfying that human weakness disguised as itching curiosity.

Moral of the saga? Msizaezae ovyo, mtawapa watoto wenu shida.
 
Kati yangu ninayeheshimu the cold fact kwamba baba hajataka contact na wewe unayeendekeza ndoto za a deadbeat dad kum complete mtoto nani emotional hapa?

Hadithi yako hsihusiani vilivyo na kisa hiki kea sababu baba wa kisa hiki anajua kuna mtoto.

Hii sio cold fact bali ni assumption tu. Kwanza tumeambiwa kuwa huyu baba kafariki zamani sana, kwa hiyo inawezekana zaidi hakumtafuta kwa kuwa alishakufa na sio kuwa hakutaka kumtafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…