WEWE UNAPENDA COLD FACTS. N
IPE SASA COLD FACT YA SWALI HILI:
Je baba huyu aliyemtelekeza mtoto a
najua kwa hakika kabisa
kwamba huyu mtoto ni damu yake?
Wewe Kiranga unajuaje kwa hakika
kama huyu mtoto ni damu ya huyu baba anayetafutwa?
Mimi nilidhani mwenye siri hiyo ni mama wa mtoto
na pengine hiyo ndiyo sababu kwanini hatoi ushirikiano wa kutosha katika kumtambua baba...
Haya nipe cold fact hii: una uhakika gani huyo baba anaetafutwa mtoto huyu ni damu yake?
Such a curiosity is a very human weakness. The fact that it is human does not change the fact that it is a weakness.
Essentially a case is made here that one cannot exist peacefully without knowing one's deadbeat dad.
Which is the opposite of kujitambua. Huwezi kujitambua kwa kutegemea watu. Especially kama hawajakujali.
Cold fact. Hakuna baba anayejua mtoto ni wake kwa 100%. Hata DNA test haitoi results za 100% certainty.
Kwa hiyo mfano wako uliojengwa katika swala la uhakika wa kibaiolojia umeanguka kwa sababu msingi uliojengea -uhakika wa ubaba- haupo kwa mtu yeyote duniani.
Zaidi ya hayo. Kama huyu baba si mzazi wa mtoto that's even more reason kutomsumbua.
Kwa nini mumsumbue mtu wa watu kama si baba?
So what if it is a weakness?
If that is how she feels then who are we deny?
Sikubaliani na wewe hapo. Kujua unapotokea ni sehemu ya kujitambua.
Haaa!!! Kama haya ambayo umeyaweka hapa ndiyo unayaita COLD FACT, hili sasa
linanipa shida kidogo kuendelea kufanya discussion na kichwa chako mkuu...
Mimi nina watoto, na watoto hawa wote nina uhakika wa asilimia 100 kuwa ni watoto wangu mwenyewe,
nimewatoa hapahapa kiunoni pangu. Mbona hujaeleweka?....
A weakness ought to be pointed out as a weakness, lest some mistake it for a "solution", "completion" "closure" or some such mumbo jumbo.
Let's not deceive ourselves that a deadbeat dad could fill an emotional void any more than an adoptive dad could, without the awkward questions.
I take it to mean "who are we to deny".
If you thought my intent is denying then you thought wrong. I have neither the authority nor the inclination to play denier, much less the enforcement capability. And a law without enforcement is a joke.
Far from denying, I am analyzing. It is similar to telling someone who is overweight due to emotional/ overeating issues and contemplating overeating chocolate as part of a solution to her problems that her emotional problems are linked to overeating and overeating chocolate will not help anything. This is not denying her eating chocolate, she can eat whatever she wants, but people have to say the truth.
The truth here is that the father is a big missing link and because of that he created a void, a problem.
The father does not want contact.
Contacting the father will be imposing on him and just as selfish as what the father did. I am just stating the facts.
Kama unafikiri "unapotokea" ni lazima ku involve a deadbeat dada then you are thinking small indeed.
Huyu mtoto anapotokea hana historia yoyote ya maana na baba yake, huko kote hawezi kutafuta anapotokea mpaka amtafute baba asiyemtaka?
There is nothing wrong with imposing on your father. He is your father. He brought you into this world. You didn't ask for it. And your logic here is funny. It's funny because in essence what you are saying is fathers who choose to be deadbeats should not even be forced to pay child support because that would be imposing. SMH!
Namuunga mkono Kiranga katika hili. Baba huyo alifanya alichokifanya mpaka mama kaamua kumuua katika MV Bukoba...we mtoto unacheza kamari shauri yako. Baba gani huyo hata siku moja hajajiiba kukutafuta? Unadhani baba ni genes au blood group?
Mama yako ataumiaje akijua umeenda kumtafuta huyo the so called baba? Connection? Give me a break. Endelea na maisha yako establish familia yako. Hata sikupi pole maana inawezekana kabisa angekulea ungeharibikiwa
Inawezekana suluhisho ni ku move on. Mbona watu wanafiwa na wazazi wakiwa wadogo na wanastawi vizuri tu?
Kwa nini mtu awe tegemezi kwa baba ambaye hakumjali?
Identity yoyote utakayotafuta bila kujali values za uwajibikaji itakuwa haifai kwa hilo. Na huyu baba hajawajibika.
Halafu kwa nini mumuingilie maisha yake kama yeye hataki kumtafuta mwanawe?
Akimkataa si mtapata heartbreak zaidi?
Kama mtoto kaweza kuishi miaka 20 aendelee kivyake tu. Obviously baba hana time naye. Angekuwa na time naye angemtafuta.
Sasa kwa nini kuji impose kwa mtu hana time na wewe?
Nyani Ngabu
This warrants a response.
...I can understand a child/ mother looking for a father for support legally while under age. Why wait until 20 when she is legally not even a minor? The mother doesn't seem to be onboard with the idea of looking for the father.
....
Mkuu samahani, why should you speak someones' mind, yeye anamtaka baba yake, hajakuomba ushauri wa aidha atamfaa ama la! Na Mkuu hujui hisia na malengo yake, kama hauna msaada kaa kimya umuache mweziyo autafute mzizi wake ili nafsi yake itulie! Hata kama baba ana makosa, lakini akishamfahamu, atawajua pia shangazi, pia baba zake wadogo ambao pia ni mhimu kwake, hata watoto wake huenda nao watahitaji kumjua babu yao.
I like that line of thought. Now ask the Question, WHY?.......
Hili ni suala binafsi sana. Kama mtoto anataka kumtafuta baba yake mzazi kwa ajili ya kumjua na labda kumuuliza maswali ili akidhi kiu yake basi sioni ubaya kabisa.
Na asiyetaka kumtafuta wala kujua kuhusu baba yake, naye sawa tu kwa sababu hivyo ndivyo anavyotaka yeye.
Ingekuwa mimi nipo kwenye hali aliyonayo huyu binti ningefanya hivyo hivyo kama anavyotaka yeye kwa lengo la kujua na kujaribu kupata majibu kwa maswali ambayo yananisumbua.
Ni suala binafsi. Likiletwa JF linaisha ubinafsi.
Watu weak wanaotafuta kukamilishwa na watu wasiowajua wala kuwataka watataka kumtafuta baba.
Watu strong wanaoelewa the inner strength of an individual and the sanctity of privacy watataka kuendelea kivyao.
Why ask why?
Ni suala binafsi. Likiletwa JF linaisha ubinafsi. Complication inakuja kumtafuta baba asiyejulikana alipo kuna involve media zilizo very public katika suala lililo very private.
Watu weak wanaotafuta kukamilishwa na watu wasiowajua wala kuwataka watataka kumtafuta baba.
Watu strong wanaoelewa the inner strength of an individual and the sanctity of privacy watataka kuendelea kivyao.
Wewe Kiranga inaelekea umekaa mahali na Kilaptop unakunywa pombe na kunasafu Jamii Forum. Haya majibu ya ajabu ajabu mbona hayafanani na Kiranga ninayemjua? Umelewa?
Mwisho wa siku litaishia kuwa suala lake yeye mwenyewe. Na ataamua kulingana na anavyoona yeye kuwa ni sawa.
Sioni weakness yoyote katika kumtafuta/kutaka kujua zaidi kuhusu baba mzazi. He will forever be part of you.
I don't look at it the way you look at it. To me having the courage, desire, and curiosity to try know where you come from is a strength.