Uko nchi maskini na bado uko mkoani?

Ushamba mzigo, labda tukuulize umefika lini dar na gari la kubebea ng'ombe?
 
Sema mkijaga huku bushi hamna kitu mnaweza fanya zaidi ya story za alfu lela ulela
Maisha,hatukatai ni sehemu yoyote but unaangalia na fursa available, huez kwa sehem tajiri wa mtaa anamiliki million moja,hapo hapawez kua na mzunguko wa hela
Kwa mtu unaye aim higher huez ukawa comfortable na utafutaji,mbn kuna sehemu mikoani zina mzunguko mkubwa wa pesa, hapa we're talking about places ambazo unawekwa mbali na USO wa dunia .hata thinking capacity lazma ipungue akili inakua dormant,you have to stay place yenye iko well interacted kuna fursa zaid ya kumi with basic and important services.
Just imagine unakaa sehemu kufka Mjini tu usafiri changamoto barabara vumbi lami unaiota kama ndoto,and you're expecting to be successful.
Watu wanaridhika na pesa za kula na bia mbili tatu za kuwahonga kina neema na tunsubilege 😁😁 watoto wwmechoka they can't dream about the future shule tu watu ni mzozo imagine 15yrs girl thinking of marriage.
We need new Tanzania, for better future
 
Kuna watu wako huko uliko kutaja na maisha yao ni ya uhakika,raha,afya,amani na matumaini zaidi ya wengi walio Dar.
TRUST ME
 
Elimu yako haijakukomboa kabisa kwa bandiko hili unadhihirisha wazi Kariba yako kuwa ni kijana usiejielewa kabisa huna future plan.kwa hyo watu wote watoke Nkasi waishi jijini ili wafanye Nini labda?halafu utakula sembe na hizo chips utaziona wapi!!muwe mnaficha ujinga jamani
 
Pesa inakufanya uji feel comfortable popote

Wazungu wakija Tz wanaenda kukaa porini huko

wana enjoy nature,nyie mnabanana Dar tu
The problem is not about money mkuu,mzungu hawez kwenda pori chaka huko bila sababu ya msingi
Ataenda sehemu kutalii kulingana na kivutio cha utalii

Ataenda pori huko kama ana some research to do au project to establish
Otherwise huo ni uongo mzungu atoke atokako aende kula bats mabonde kuinama na million kadhaa kufanya nn hakuna hata huduma ya chakula since when utasema nature? Nature bila basic and luxurious services? It's rare!
 
SidhanI,kama anamaanisha watu wote waje mjini hapana but at least kuwe na improvement ya living standards za watu,watu wanaishi like wako 60's huko
Mbn kuna vijiji viko ndani but pesa iko,watu wanajenga vizuri and wako na exposure ya baadhi ya vitu.
Wewe unafikri kwa hali kama hii utamueleza nn Mdimi wa njombe kuhusu KATIBA MPYA,BANDARI, akuelewe ikiwa hana exposure ya vitu hvyo na anaona havina msaada katika maisha yake?
 
Uchafu uchafu uchafu.... ukiondoa majalalani sehemu nyingine inayofuata kwa uchafu ni mkoa wa Dar... naked truth
 
Uchafu uchafu uchafu.... ukiondoa majalalani sehemu nyingine inayofuata kwa uchafu ni mkoa wa Dar... naked truth
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Watu wa Dar Magufuli kawajengea flyover na Daraja baharini wanapigia picha na kufanya jogging wanaona watz wengine wajinga

Watoke waende hata Nairobi wapate exposure waache ushamba
 
Kipindi hicho, 2010,nina degree yangu nipo kazini Mwanza,nimepewa, nyumba gari nk, kulikuwa, na jamaa nakutana nae kila, nikienda, kituo cha mafuta kujaza bouwzer, akawa ananiambia, nifanye biashara ya kupereka mafuta ya, taa,petrol kwenye visiwa vya ziwa Victoria, akaniambia, hiyo biashara inalipa sana, nikawaza nikaona huyu Dogo anazingua, nani afanye biashara ya mateso vile, wakati nipo kwenye ajira Nina cruza mkonga ya ofc,saaaafi.
Baada ya mwaka mmoja, nikakutana na Yule Dogo, anaendesha Nissan patrol short chassis, akasema ametoka kuinunua juzi.
Nikamuuliza kwa pesa gani, akasema ileile ya kupereka mafuta visiwani,harafu anakuja na dagaa wa kusafirisha kwenda Dar!
Fast forward Leo!!
Jamaa ana mkwanja mreefu, mie bado nipo ajirani,na mvi zimeanza
,
Hata kuonana nae, naogopa kwa gap aliloniacha,
Fulsa zipo kila mahari bro! Sio dar tu!!
 
Mawazo ya kitumwa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…