Ukizeeka unataka kuwa nani?

Natamani niwe mpole no story za ujinga na watu yaani nakuwa mpole na mshauri wa mambo ya kijamii kwa watu wataokuwa wanakuja kuniambia mambo yao .

Ila sasa nawaza kuwa je nitaweza maana hapa nilipo naitwa Google na wanakijiji maana hakuna nisilolijua na pia kwenye kundi la wengi mimi ndiye nakuwa kinara wa maongezi ukweli uongo humo humo kikubwa niwe main speaker .

Nisaidiwe ikiwa kuna namna ya kuwa mpole hapo badaye ili niwe nimeziishi ndoto zangu
 
Nataka kuwa mzee wa mjini yaani....nahakikisha uzeeni nakuwa na mishe mishe kama Koffi Olomide ila cha msingi niwe na hela tu za kutimiza mahitaji yangu sio kuomba omba ndugu.
Ila angalia usije ukawa mende🙌🏿😂
 

Mshauri Baraza la Wazee.
 
Just imagine. Mbele ya mimbari ya kanzu yangu nyeupe pe! Kama roho Yangu💗✌🏿Hallellujah❗💥💥💥
Naanini kabisa utakuwa ukitenda miujiza ya kishirikina, na sie waswahili tunavyopenda miujuza sasa. Nitakuwepo karibu yako kuwa msimamizi wa sadaka
 
Nataka kuwa mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…