Ukizaliwa Kwenye Familia yenye uwezo wa Chini utadharaulika sana

Mayunga234

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,726
1,989
Ukizaliwa kwenye familia yenye uwezo wa chini utadharaulika sana especial na ndugu wenye Uwezo.

Na Shangazi yangu ana Uwezo na anafanya kazi Sehemu Nzuri tena taasisi kubwa tu hapa Bongo basi after nilivyomaliza Chuo nikamchek shangazi, anaitafutie kazi nikatoka Mkoani nikaenda Dar kwa Shangazi nilipofika alinipokea vizuri tukaanza kupiga story za hapa na pale akaniulza shule nilizosoma na chuo basi baada ya kumwambia nimesoma kayumba mwanzo mwisho kuanzia primary hadi A level, dah akaanza kuniponda ohh waliosoma shule za kata akili zao ni butu kingereza tu hawajui hawana Uwezo wowote Dah alinikata moto sana nikajuta hata kwenda kwake sio kwa dharau hizo, dharau kibao kisa wanae wamesoma Feza

Next day akaja Mdogo wake Shangazi nae Mambo safi basi wakati tukiwa sitting room tunapiga story Uncle akaniuliza vipi umesomea nini Nikamwambia IT akani courage huku akiniambia kazi utapata tu kikubwa uvumilivu Shangazi akaingilia kati akaanza kuponda Nanukuu “Huyu nae katoka Familia za shida shida Atapata wapi kazi “ hii kauli ilinikata moto sana nikajuta kwenda kwake cz kanidharau vya kutosha.

Kwa anzia hapo sitakagi Mazoea na ndugu yeyote na deal na mambo yangu, Japo Shangazi ananitafuta niende kwake ila kwa dharau zile siwezi hata dunia igeuke.

Sina Kazi ila Namshukuru Mungu kwa hii Pumzi anayonipa kila siku na Kuendelea Kupambana na Mambo Mengine.

Bora watu baki kuliko ndugu tena ndugu wenye kujiona wameshawin Maisha.
 
Huyo shangazi yako anajidai mjanja wkt pedi ameanza kuzivaa miaka ya 2000 tu hapo kabla ya hapo ametumia matambala sana na Pamba kujisitiri kwa sababu ya umaskini leo amejisahaulisha tayari.

Vyoo vya kukaa amevijulia ukubwani,amekulia kwny vyoo vya shimo huko kwao,mavi anayashika kwa mkono leo kuja mjini kujua kutumia toilet paper tu imeshakua nongwa?
 
Acha Majungu wewe..! Tena Kuwa mtu Wa Fadhila...Shangazi alipambana kufikia alipofika. Sasa na Wewe Pambana acha Kulia lia Huyo shangazi Muone kama Chachu Ya kukutia hasira za Kutafuta Mafanikio....!
Nenda kaulize Waliofanikiwa Wengi watakupa hii theory..!
 
Ndio ukome kwenda kwenda kwenye Majumba ya watu. Ukishasoma level ya College au high school usipende sana kutegemea watu wakuinue...jitahidi sana kupambana kivyako. Kazi za kutafutiwa zina lawama sana haswa huko mbeleni mambo yakienda ndivyo sivyo.
 
Shangazi gani limbukeni kiasi hicho 😲😲🤣

Huyo shangazi yako ni "mshamba smart"....

Umeumbwa na Mungu na unapewa nguvu na yeye na si binadamu.....Pambana
UZIFIKIE NDOTO ZAKO,aaamin🙏

#SiempreJMT
 
Pole mkuu Maisha yaja, pambana .

IT itakutoa ,kwanza kusoma shule za kayumba mpaka unatoboa, ujue kichwan uko Vzuri.
 
mtu kama huyo maishani ndiyo huwa kama chachu ya kupambna zaidi ili ajue kuwa hakuwa sahihi na maneno yake. Ila inategemea utayachukulia vipi....hasi au chanya.

Hata sikumoja siwezi kuonea aibu maisha au familia niliyotoka.
 
Back
Top Bottom