Ukiweza kutoboa hapa basi akuna mahali utashindwa kuishi

Arusha basic needs kama chakula na nyumba ni very cheap. Huwezi fananisha bei ya nyanya soko kuu arusha na kariakoo. Kariakoo ni bei ghali saanna. Pia nyumba ya kupanga say ya 250,000 njiro / moshono ikiwa mahali kama sinza kwa dar utalipa 400,000.

Arusha vitu ambavyo ni bei ghali ni manufuctured good. Mfano simu, computer, nguo e.t.c. ambavyo unanunua mara chache. Lakini basi need ya chakula na housing arusha is far way cheaper than dsm.

Nimeishi sinza na sasa naishi moshono arusha. I feel the difference.
 
WEWE NI LIMBUKENI WA MAISHA...ila pia hongera kwa kummega mtoto Sky Eclat usiku kucha.

Anyway. Mkuu, watu tumeishi na kusurvive Nairobi...huna ndugu, huna rafiki, unalala nje...kwenye vibaraza, ila ukiamka ni mwendo wa suti na tai. The same happened in Mombosa, Mwanza na Cairo misri. WHAT IS ARUSHA? I can survive and lieve anywahere.

I can make life anywhere..hii ndio faida pekee ya kupigika na kujifunza mengi.
 
Arusha ni pangumu kama huna connection na wajanja wa kupiga hela, inabidi uwe mtu wa kujichanganya sana, Arusha unaweza kuona kijana anatembea na mabulugutu ya hela kwenye gari unabaki unajiuliza watu wanazipatia wapi
 
Huko nairobi ulishi kama chokoraa,ulikuwa unalala mtaa gani,pole umepitia maisha matata sana,hali ya hewa ya nairobi sio rafiki kwa kulala mtaani.
 
Umeongea ukweli...pale ni home so hujaongopa!

Cc. Alex Masawe, Tolu, Janjaaa
 
Mtoa mada unamaanisha Arusha maisha ni magumu sana kiasi kwamba ukiyaweza hapo hushindwi popote?
Sasa mji kuwa na maisha magumu ina maana kuna fursa chache, sasa hilo ni jambo la kujivunia?
 
Tanzania kunaaina tofauti sana ya maisha Miji kama Arusha unakuwa unapiga ujanja wa mjini na udalalidalali na mzunguko wa pesa unaruhusu. Ila sehemu nyingi mzunguko wa pesa ni mdogo sana huwezi piga dili za hivyo. Njia pekee ya kuishi ni kushika Jembe. Labda kama unazungumzia waajiriwa ambao kipato chao ni constant haijalisho ulo wapi.
 
Huko nairobi ulishi kama chokoraa,ulikuwa unalala mtaa gani,pole umepitia maisha matata sana,hali ya hewa ya nairobi sio rafiki kwa kulala mtaani.
Nilikuwa kariobangi, and I dated the most intelligent kikuyu girl...her company alongside my pastor (congolese) inspired my career. I am a devil to what I do now, I am super. very super...only bcoz those 2 people saw my potential.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…