Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,232
- 1,192
Ulishawahi kuishi Dodoma mkuu.?Ni kweli ukisavaivu arusha hata motoni kwa mungu utakaa umerelax
Hapana ila nilipita tu hapo.asee niliona niko sayari ingine kbs mji ulivyo mbovu.Ulishawahi kuishi Dodoma mkuu.?
Binafsi huo mji wa vumbi sikuupenda.Ulishawahi kuishi Dodoma mkuu.?
Dah nakuunga mkono dodoma ni Jiwe kimaisha mimi palinishindaUlishawahi kuishi Dodoma mkuu.?
Basi ni mji mgumu sana kutoboa na kila kitu lazima uingie Sokoni.Binafsi huo mji wa vumbi sikuupenda.
hewalaaaaaaa...., home sweet home. karibu kwetu bibieeArusha patamu jamani. Hali ya hewa, nice people who mind their business.
Kuna class flani hivi nzuri, wakaka wazuri wazuri hawaongei matusi.
Wadada classic who pay their own bills.
Its a clean town, mipangilio ya mji ipo vizuri.
I just loved it.
Huu ni ukweli usiopingika.Habari za watu wa humu, naamini mu wa wazima .sky eclat anawapa salamu yupo hpa tangu jana .
Any way tuachane na hayo niende moja kwa moja kwenye mada.
Haya ni maoni yangu na utafiti wangu, so ukija hapa kupinga pinga kwa hoja na sio kwa msisimko.
ARUSHA ni mji ambao unafahamika kwa kuwa na wingi wawageni toka nje ya nchi, wanaokuja kutembelea vivutio vya utalii ikiwemo kutazama wamasai(jokes) na mbuga za wanyama.
Nimeishi mikoa karibia mingi hapa tizo isipokuwa mikoa miwili tu ikiwa ni Ruvuma na Kagera Kiukweli kama umeshawahi kukaa Arusha ukafika tu ukiwa hauna chochote na ukaweza ku toboa na ukaweza ku maintain life ya pale basi ujue hakuna mkoa utashindwa ku survive ,huu ni mtazamo wangu na utafiti wangu mdogo ,sijui kwa nyie wenzangu mnasemaje japo wengi walisema
Ukiweza kuishi dar hamna mkoa utashindwa kuishi mimi niliwakatali kabisa .ama kwa hakika Arusha maisha yako juu kuliko pengine ,sio kwa chakula ,gharama za nyumba na hata mahitaji mengine ya muhimu hii nikutokana na kuwa ni jiji la utalii ,watu kuuza bidhaa kama wanawauzia wazungu.
Nawasilisha.
hewalaaaaaaa...., home sweet home. karibu kwetu bibiee
Pia kuna aina flani ya mavazi very uniqueArusha patamu jamani. Hali ya hewa, nice people who mind their business.
Kuna class flani hivi nzuri, wakaka wazuri wazuri hawaongei matusi.
Wadada classic who pay their own bills.
Its a clean town, mipangilio ya mji ipo vizuri.
I just loved it.
Habari za watu wa humu, naamini mu wa wazima .sky eclat anawapa salamu yupo hpa tangu jana .
Any way tuachane na hayo niende moja kwa moja kwenye mada.
Haya ni maoni yangu na utafiti wangu, so ukija hapa kupinga pinga kwa hoja na sio kwa msisimko.
ARUSHA ni mji ambao unafahamika kwa kuwa na wingi wawageni toka nje ya nchi, wanaokuja kutembelea vivutio vya utalii ikiwemo kutazama wamasai(jokes) na mbuga za wanyama.
Nimeishi mikoa karibia mingi hapa tizo isipokuwa mikoa miwili tu ikiwa ni Ruvuma na Kagera Kiukweli kama umeshawahi kukaa Arusha ukafika tu ukiwa hauna chochote na ukaweza ku toboa na ukaweza ku maintain life ya pale basi ujue hakuna mkoa utashindwa ku survive ,huu ni mtazamo wangu na utafiti wangu mdogo ,sijui kwa nyie wenzangu mnasemaje japo wengi walisema
Ukiweza kuishi dar hamna mkoa utashindwa kuishi mimi niliwakatali kabisa .ama kwa hakika Arusha maisha yako juu kuliko pengine ,sio kwa chakula ,gharama za nyumba na hata mahitaji mengine ya muhimu hii nikutokana na kuwa ni jiji la utalii ,watu kuuza bidhaa kama wanawauzia wazungu.
Nawasilisha.
Nikiwahi kuishi Dodoma nilichokiona huko ni ukame.Ulishawahi kuishi Dodoma mkuu.?
Arusha patamu jamani. Hali ya hewa, nice people who mind their business.
Kuna class flani hivi nzuri, wakaka wazuri wazuri hawaongei matusi.
Wadada classic who pay their own bills.
Its a clean town, mipangilio ya mji ipo vizuri.
I just loved it.
kuingia sokoni Dodoma tofauti na Arusha kwa gharamaBasi ni mji mgumu sana kutoboa na kila kitu lazima uingie Sokoni.