Ukiwahi ofisini alfajiri kuna mambo!

Ukiwahi ofisini alfajiri kuna mambo!

Mambembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
2,217
Reaction score
2,970
Naombeni kwa mlio elewa hii picha mnitafsirie........
IMG-20180510-WA0001.jpg
 
Aisee..inasikitisha sana,kama hizi taarifa ni za kweli
 
Ina maana hiyo ofisi haina mtu mwingine?na unakuwaje comfortable kuvuaa nguo maeneo ya ofisi?
Mara nyingi ni baada ya watu kuondoka mnakua wa mwisho masiala ya hapa na pale mara paaap kuvua mnaazia robo utam ukiga nusu ukinoga zaidi unamalizia tu siku inapita
 
Mara nyingi ni baada ya watu kuondoka mnakua wa mwisho masiala ya hapa na pale mara paaap kuvua mnaazia robo utam ukiga nusu ukinoga zaidi unamalizia tu siku inapita
Mmmh uwe na moyo kweli.maeneo ya ofisini kwakweli huwezi kunikuta nafanya ujingaa hata siku mojaa na wala sinaga masiahara na mtu mpaka nikafikie huko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom