Ukiwa Tanga usiwe na haraka

Kwann hajakupelea lavida,chichi au splendid?
 
Umedanganywa hakuna kitu kama icho mi nimezaliwa tanga nimekua tanga nimesoma nursery mpaka form sixnilichagua shule za tanga tu hizo ni propaganda hakuna kitu kama icho mbele ya dini ya uislamu ukihisiwa tu umekwisha unaweza pigwa mawe izo ni propaganda za kimagharibi tu kule hakuna ushenzi kabisa naijua tanga yote
 
Mkuu jazia jazia nyama kidogo tushibe huu wali..mambo ya huko..nina mpango kuja kutembea siku
 
Ukimpa kazi mtu wa Tanga uwe mvumilivu kusubiria.
Mtu anakuwa radhi ailaze kazi ambayo inamwingizia kipato kwasababu ya kucheza bao.
Ni baadhi tu mkuu (tena wachache mno).
 
Tanga ni mji w ajabu sana...kwa mimi nilietoka mji wa kibabe arachuga huwa naishangaa sana tanga.kuna siku kipindi cha nyuma sana nililala night moja pale tanga beach resort nilishangaa sana kuona hotel kubwa ya nyota kama ile swimming pool zake wanaoga machokoraa na masoro!!nilistaajab sna na nikaishusha cheoo ile hotel.

Kingine tanga mjini baskeli nyingi mi sijawahi kuona jiji lina mabaskeli vile.asubuhi asubuhii ili ujue kumekucha unaskiaa UWONOOO UWONOOO.watoto hao wa kiarabu unasema ni choka mbaya wanadanga kwa waswahili wa bara tuu.mtu wa bara ukienda kule kwa kaz zako na uhakika wa pesa unao unafungiwa ndani na utawala nyumba nzima hadi mamamkwe
 
Huko sahaihi aslimia 100 nimesoma advance pale tanga pale lushoto shambalai basi wanakuja watu wa mikoani especially chuga na moshi ,wengine mikoa kadhaa kama mara,bukoba,dar ndo kibao, sumbawanga basi wamekariri watu qa tanga ivi kikubwa walikutana na wadigo 🤣🤣🤣🤣kama unavyojua walikuwa wanaongea sana shule nzima kama wamikoani wanajikuta hawana sauti maana ubishani sana mbaya zaidi wana kibao wamezunguka wamerudi kuoa pale waty wa tanga

Wanadanganywa kule watu wanapiga kazi ila michezo kibao ya kiasili tena cheap achna na mambo sijui ya disco na ulevi kama watu wa kaskazini kwetu sio starehe utaonekana bwege 😂😂😂basi jamaa sasa nikasoma akili za watu wote pale kwa vil sijatembea mikoa yote

Watu wa dar walikuwa wanadhani wanadominate watu wote ila wakakuta ule ujanja wao sio bure ukikmuuliza mtu keramu la kete hajui achana na mambao ya kizee zile keramu za kupiga na kidole kwa vijana 🤣🤣🤣wamekutana na special wenzao

Watu warusha wanajifanya watu wako bussy na viatu vya mtumba tu story ixo za wazungu hawajui kule sisi wazee wa sandals tamaduni zetu za waarabu halafu manguo yao ya mitimba tunadharau pale tangamano wanakuja na vikadet vya dickies na mashati ya polisi tunacheka balaaa eti swaga

Moshi walikuwa walevi eti starehe hwajui kule starehe kula tu mapishi mi starehe 🤣🤣🤣🤣nilichek kinoma nawaona wa kawaida sana
Mikoa mingine walikuwa wako kimya kigoma walijikuta wabishi wakakutana na wadigo ni wabishi kufuru

Yote hayo tanga usije na swaga zako sijui mchapakazi watu wanapiga kazi kama kawa usikariri watu wanakaririshwa
 
Tatizo moja unatembea na mawazo yako kichwani asa chuga kuna nn cha maana😂😂😂masikini 23% mademu matommy boys kama wanaume yaani hayana hta mxuka yakifika tanga na dsm yankuwa madanga hamna mbabe chuga
 
Zanzibar ni hivyo hivyo. Nahisi watu wa pwani ni uvivu umewajaa. Nilikua nakasirika nikiamka asubuhi kwenda dukani nakuta maduka yamefungwa mpaka saa 4 ,5 ndo wanafungua maduka.
Zanzibar ni kubwa labda useme ulikua mkoa gani...
 
Hakika mkuu kuna watu wanapenda kuhadithiwa kuliko kujionea wanaponda sana maeneo ya pwani kama vile wameshafanya utafiti.
 
Hata hapo Dar hayo mambo yapo.
Inamaana Kaka hujawahi kufika Buza kwa Mpalange ? Hayo mambo hata Musoma nimeyakuta. Hata wakurrya miraba minne wanakamata kuta za nyumba kwa ridhaa zao kwa ujira mdogo tu.
Msiwapakazie wa Tanga
Makete Njombe huko watu wanabanduana balaa,ukimwi upo juu kinoma,mpaka vilainishi wameperekewa wabanduane bila michubuko.
 
Naam kabisa Tanga watu wanadhani ni urojo Sana aisee wangejua watu hawapoi Ni show Kali Kama kawaida[emoji41]
 
Mkuu unafeli parefu Sana maana chuga hakuna mpya yoyote nimesoma chuga muda mrefu tu na sijaona kipya Mkuu, na nakushangaa unaposema kuhusu baiskeli maana swala la baiskeli shinyanga ndio mji mkuu wa baiskeli iweje Tanga!??

Na Kama ukisema baiskeli ina maana ulikuja tanga ya miaka ya zamani na ndio maana unajikuta kuiongelea kwa taarifa zisizo rasmi.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…