mjanja wa kijiji
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 1,879
- 5,018
Kumbe unazungumzia tabia za ushoga, mbona dar hamshangai kuna mambo ya kweli lakini mengi ni chumvi tupu, niliwahi kuambiwa Tanga ukipiga teke hata kifuu kinaongea lakini nilikuwa napiga hata kuku lakini sijawahi kushuhudia hicho kitu.Inategemea mkuu umekaa tanga sehemu gani, nenda tanga mjini maeneo ya chichi hadi nyumbani kwetu hotel, nenda tanga pazuri, bado hujaenda sokoni mgandini, mitaa ya mikanjuni, sahare, mabanda ya papa, makorora na barabara za namba. Tanga kila kitu, tena unaweza kudhani unaishuhudia sodoma na gomora mpya, hatari sana. Nakumbuka siku nilipotembelea forodhani saa mbili usiku, nilishangaa kukuta wanaume wamekaa kando ya barabara wanajiuza, nilitetemeka mwili mzima sikuamini nilichokiona
Kudhurura ndio kufanyaje?Anaweza akakupa chochote [emoji3] [emoji2] [emoji1] nimeipenda, natamani nikadhurure Tanga labda nitapewa kweli chochote
Mkuu hizi nj propaganda tu za vijiweni kama zile zibazovumishwa kuwa sumbawanga kuna uchawi saba ilhali ukifika kule mambo ni tofauti. Kwa hiyo zisikunyime usingiziNo hurry in Africa
Kajamaa umefika Tanga gani Wewe?Tanga ni kati ya mji wa kipekee sana hapa Tanzania.
Watu hawana haraka na hawajali kabisa. Watu hawaendi na muda na they don't care about it. Ukidrive town wanaona shida hata ku-overtake, sababu hana haraka.
Maduka yanachelewa sana kufunguliwa. Na pia yanawahi kufungwa. Watu hawana wivu wa maendeleo kabisa. Hata ukinunua gari lako zuri, watu hawana time nalo. Hawaoni improvement yako na hawajali.
Kila mwanamke unayekutana nae kavaa hijab, ukimuuliza umeolewa anasema hajaolewa. Na anaweza akakupa chochote, muda wowote na kwa namna yoyote. Tanga aisee hakuna haraka. Ukija huku hakikisha haufuati sana ratiba yako.
Life is simple!
Hahahaha umenikumbusha mbaliInategemea mkuu umekaa tanga sehemu gani, nenda tanga mjini maeneo ya chichi hadi nyumbani kwetu hotel, nenda tanga pazuri, bado hujaenda sokoni mgandini, mitaa ya mikanjuni, sahare, mabanda ya papa, makorora na barabara za namba. Tanga kila kitu, tena unaweza kudhani unaishuhudia sodoma na gomora mpya, hatari sana. Nakumbuka siku nilipotembelea forodhani saa mbili usiku, nilishangaa kukuta wanaume wamekaa kando ya barabara wanajiuza, nilitetemeka mwili mzima sikuamini nilichokiona
Hakuna kutambiana huko...! ukute gari lako hilo wanalitumia usiku kufanya shughuli zao wakati umelala. Sasa wakuonee wivu kwa lipi (Purely Jokes, mkuu. Usije ukahama mji bure. Ha ha ha aaa!)Hawaoni improvement yako na hawajali.
Ukimpa kazi mtu wa Tanga uwe mvumilivu kusubiria.Tanga ni kati ya mji wa kipekee sana hapa Tanzania.
Watu hawana haraka na hawajali kabisa. Watu hawaendi na muda na they don't care about it. Ukidrive town wanaona shida hata ku-overtake, sababu hana haraka.
Maduka yanachelewa sana kufunguliwa. Na pia yanawahi kufungwa. Watu hawana wivu wa maendeleo kabisa. Hata ukinunua gari lako zuri, watu hawana time nalo. Hawaoni improvement yako na hawajali.
Kila mwanamke unayekutana nae kavaa hijab, ukimuuliza umeolewa anasema hajaolewa. Na anaweza akakupa chochote, muda wowote na kwa namna yoyote. Tanga aisee hakuna haraka. Ukija huku hakikisha haufuati sana ratiba yako.
Life is simple!
Unaumia nn si ufungie Duka lako masaa 24 uwe Bilionea. Acha kufuatilia Mambo ya watuZanzibar ni hivyo hivyo. Nahisi watu wa pwani ni uvivu umewajaa. Nilikua nakasirika nikiamka asubuhi kwenda dukani nakuta maduka yamefungwa mpaka saa 4 ,5 ndo wanafungua maduka.
Tanga Nyumba Mganga Nyumba......Baada ya kuingia Tanga nikapata na lodge maeneo ya Sahare. Nikamtafuta bodaboda anipeleke kwenye "Wajasirimali" akanipeleka City centre ilipokua La Cassa Chika club karibu na posta/soko daah mademu wazee na wabovu sana japo jamaa aliwasifia kishenzi. Baadae ananiambia ooh twende Pongwe (yapata 15kms eti Kuna mademu wa kisomali) Nilikataa kulipia boda kwa ujinga wake na kunipotezea muda.
Very correctUnaumia nn si ufungie Duka lako masaa 24 uwe Bilionea. Acha kufuatilia Mambo ya watu
Ha ha ha !Tanga ni kati ya mji wa kipekee sana hapa Tanzania.
Watu hawana haraka na hawajali kabisa. Watu hawaendi na muda na they don't care about it. Ukidrive town wanaona shida hata ku-overtake, sababu hana haraka.
Maduka yanachelewa sana kufunguliwa. Na pia yanawahi kufungwa. Watu hawana wivu wa maendeleo kabisa. Hata ukinunua gari lako zuri, watu hawana time nalo. Hawaoni improvement yako na hawajali.
Kila mwanamke unayekutana nae kavaa hijab, ukimuuliza umeolewa anasema hajaolewa. Na anaweza akakupa chochote, muda wowote na kwa namna yoyote. Tanga aisee hakuna haraka. Ukija huku hakikisha haufuati sana ratiba yako.
Life is simple!
Wanaume wa Tanga wanaukubwa gani wale?Tanga ni kati ya mji wa kipekee sana hapa Tanzania.
Watu hawana haraka na hawajali kabisa. Watu hawaendi na muda na they don't care about it. Ukidrive town wanaona shida hata ku-overtake, sababu hana haraka.
Maduka yanachelewa sana kufunguliwa. Na pia yanawahi kufungwa. Watu hawana wivu wa maendeleo kabisa. Hata ukinunua gari lako zuri, watu hawana time nalo. Hawaoni improvement yako na hawajali.
Kila mwanamke unayekutana nae kavaa hijab, ukimuuliza umeolewa anasema hajaolewa. Na anaweza akakupa chochote, muda wowote na kwa namna yoyote. Tanga aisee hakuna haraka. Ukija huku hakikisha haufuati sana ratiba yako.
Life is simple!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]massage ya kiswahili wenyewe wanaita kusinga, hahahahaha Tanga kuna raha zake bwana kwa tunaopenda burudani....kilago chawekwa chini wenyewe waita kijamvi kidume unalazwa hahahahahaha lazima usahau kufa...me simo muoe vijana..
Usifanye mchezo na Sumbawanga weweMkuu hizi nj propaganda tu za vijiweni kama zile zibazovumishwa kuwa sumbawanga kuna uchawi saba ilhali ukifika kule mambo ni tofauti. Kwa hiyo zisikunyime usingizi