Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,606
Tanga ni kati ya mji wa kipekee sana hapa Tanzania.
Watu hawana haraka na hawajali kabisa. Watu hawaendi na muda na they don't care about it. Ukidrive town wanaona shida hata ku-overtake, sababu hana haraka.
Maduka yanachelewa sana kufunguliwa. Na pia yanawahi kufungwa. Watu hawana wivu wa maendeleo kabisa. Hata ukinunua gari lako zuri, watu hawana time nalo. Hawaoni improvement yako na hawajali.
Kila mwanamke unayekutana nae kavaa hijab, ukimuuliza umeolewa anasema hajaolewa. Na anaweza akakupa chochote, muda wowote na kwa namna yoyote. Tanga aisee hakuna haraka. Ukija huku hakikisha haufuati sana ratiba yako.
Life is simple!

nimeipenda, natamani nikadhurure Tanga labda nitapewa kweli chochote