Ukiwa na Kadi ya CCM raha sana

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,809
15,059
Jana kuna msala niliufanya barabarani, nikakamatwa na traffic, wakanipeleka kituoni, sasa wakati wanajiandaa kuniingiza lock up wakaniambia nivue viatu vyangu, nitoe na vyote nilivyo navyo mfukoni, mimi nikatii nikatoa vitu vyangu ikiwemo kadi yangu ya CCM, yule afande aliyekuwa pale counter akaiona akaichukua akaingalia akaniambia nikae pembeni kwanza, baadae nikasikia anaongea na mkubwa wake kwenye simu, kwa maelezo niliyoyasikia mkubwa wake alimwambia aniachie haraka sana nisije kumsababishia matatizo.

Basi, me nikarudishiwa vitu vyangu nikaambiwa niendelee na shughuli zangu.
 
Jana kuna msala niliufanya barabaran, nikakamatwa na traffic, wakanipeleka kituoni, sasa wakati wanajiandaa kuniingiza lock up wakaniambia nivue viatu vyangu, nitoe na vyote nilivyo navyo mfukoni, mimi nikatii nikatoa vitu vyangu ikiwemo kadi yangu ya ccm, yule afande aliyekuwa pale counter akaiona akaichukua akaingalia akaniambia nikae pembeni kwanza, baadae nikasikia anaongea na mkubwa wake kwenye simu, kwa maelezo niliyoyasikia mkubwa wake alimwambia aniachie haraka sana nisije kumsababishia matatizo.

Dogo kuna Sikh kibao kitageuka,
 
Labda una cheo kwenye chama au una connection kubwa na watu wazito ndio maana unajulikana hadi kwenye vituo vya polisi
 
sina connection yoyote, wala hakuna anaenijua mkuu..
 
Jana kuna msala niliufanya barabaran, nikakamatwa na traffic, wakanipeleka kituoni, sasa wakati wanajiandaa kuniingiza lock up wakaniambia nivue viatu vyangu, nitoe na vyote nilivyo navyo mfukoni, mimi nikatii nikatoa vitu vyangu ikiwemo kadi yangu ya ccm, yule afande aliyekuwa pale counter akaiona akaichukua akaingalia akaniambia nikae pembeni kwanza, baadae nikasikia anaongea na mkubwa wake kwenye simu, kwa maelezo niliyoyasikia mkubwa wake alimwambia aniachie haraka sana nisije kumsababishia matatizo.
Basi, me nikarudishiwa vitu vyangu nikaambiwa niendelee na shughuli zangu.
Ila nimechukia kwamba kijana mtanzania kweli unaweka kadi ya ccm mfukoni? Suala la uonevu wa kisiasa ni la muda tu, hao hao polisi kesho watapiga saluti kwa akina Lissu, najua wapo kama roboti tu na hata magu watamkamata hao hao.
 
Jana kuna msala niliufanya barabarani, nikakamatwa na traffic, wakanipeleka kituoni, sasa wakati wanajiandaa kuniingiza lock up wakaniambia nivue viatu vyangu, nitoe na vyote nilivyo navyo mfukoni, mimi nikatii nikatoa vitu vyangu ikiwemo kadi yangu ya CCM, yule afande aliyekuwa pale counter akaiona akaichukua akaingalia akaniambia nikae pembeni kwanza, baadae nikasikia anaongea na mkubwa wake kwenye simu, kwa maelezo niliyoyasikia mkubwa wake alimwambia aniachie haraka sana nisije kumsababishia matatizo.

Basi, me nikarudishiwa vitu vyangu nikaambiwa niendelee na shughuli zangu.
Siku za utawala wa shetani zinahesabika
 
Ila nimechukia kwamba kijana mtanzania kweli unaweka kadi ya ccm mfukoni? Suala la uonevu wa kisiasa ni la muda tu, hao hao polisi kesho watapiga saluti kwa akina Lissu, najua wapo kama roboti tu na hata magu watamkamata hao hao.
mkuu,katiba haijasema kuwa kijana huruhusiwi kuwa na kadi ya ccm.
 
Jana kuna msala niliufanya barabarani, nikakamatwa na traffic, wakanipeleka kituoni, sasa wakati wanajiandaa kuniingiza lock up wakaniambia nivue viatu vyangu, nitoe na vyote nilivyo navyo mfukoni, mimi nikatii nikatoa vitu vyangu ikiwemo kadi yangu ya CCM, yule afande aliyekuwa pale counter akaiona akaichukua akaingalia akaniambia nikae pembeni kwanza, baadae nikasikia anaongea na mkubwa wake kwenye simu, kwa maelezo niliyoyasikia mkubwa wake alimwambia aniachie haraka sana nisije kumsababishia matatizo.

Basi, me nikarudishiwa vitu vyangu nikaambiwa niendelee na shughuli zangu.
Ukiwa ccm unakuwa kama malaika na ukiwa chadema unakuwa kama shetani
 
Back
Top Bottom