Marafiki zako ni wambea watupu, kama ni wa kiume wachunguze suruali zao.Ukijaribu kumhadithia rafiki yako
Mambo yako nyeti walahi kesho utakuta aneweka Uzi humu ,Ni afadhali matatizo yako uchakate na serikali yako ya ubongo



mnazidi kwanini ujiekezee sana ndio shida yake hiyo