Ukiwa na hela nchi hii hufungwi.........!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukiwa na hela nchi hii hufungwi.........!!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by sinafungu, Oct 4, 2012.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Wana JF nawauliza HAKI thamani yake ni tsh ngapi.................? hivi ile kesi ya bw Pesambili Mramba / Danieli Yona na Mgoja mbona kimyaaaaaaaa............? miaka inakatika jamaa wako wanakula nchi , sheria ikikamatwa na fedha masikini hawana chao.
   
Loading...