Ukiwa na afya raha sana

Ukiwa na afya hata sura inachangamka na kuonekana mwenye furaha
 
naona mnajitahidi "kumvuta" lowasa awe levo zenu za ki zinjanthropus,ahahaha!
nyie rudini ujima sie twasonga mbele,ahahaha!uzuri hatujawahi iga ccm,ila nyie mnaiga!
 
naona mnajitahidi "kumvuta" lowasa awe levo zenu za ki zinjanthropus,ahahaha!
nyie rudini ujima sie twasonga mbele,ahahaha!uzuri hatujawahi iga ccm,ila nyie mnaiga!

Twaweza
 
Hapa Raisi anaonekana akipewa matibabu kabla hajautubia taifa
 

Attachments

  • 1442993003781.jpg
    8.2 KB · Views: 324
hapo wazee wamechoka na shughuli za kusambaza mabadiliko sasa magufuli kila kitu anafanyiwa kuanzia kina diamond kufanya show za nguvu ndio watu wajae, malori kusomba watu adi tafiti za kupikwa kama 'Twawezeshwa' we unadhani atachoka na nini? hahaha
VIVA UKAWA!!!
 
Mkuu ungeweka ile ya push-up.
na kwa mtu mzima kazi za push-up ni dhahiri.
kazi mojawapo ni kuharibu ndoa za watu.

Hivyo pamoja na kudhihirisha uimara
wa afya,ina side effects zake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…