Ukiwa na account ya Paypal huwezi kuunganisha na bank zetu hapa Tanzania?

Ndugu, kwani maelezo yangu ni magumu sana hayaeleweki au?!!!
Sorry for being clingy nilikuwa sijayaona maelezo initially. Nashukuru sana, kuhusu kujaza form waliniambia nitatakiwa kufanya hivyo Ila sikuweza kueleweshwa kama ni kuhusiana na PayPal kwani nilivyomsikiliza mhudumu alikuwa ameelewa kuwa ninamaanisha kupitia kadi, kutembea sana nikaona sio safe at that time Covid-19 was a jeopardy. Again, thank you so much for the clarification, be blessed 🙏.
 
Keshakwambia uanze kwanza kutatua tatizo la Link btn your card and PayPal Kisha auende kwenye kutatufa ufumbuzi jinsi ya kupokea hela.
Hembu zipitie Tena message zake hapo juu mkuu.
Sure mkuu nilikuwa sijaiona reply. Umenisaidia sana.
 
Ni kweli kabisa! Huwa wanakata pesa ($1) for almost thirty days Kwa ajili ya verification halafu wanairudisha later. Hilo PayPal waliniambia kwenye support community. Solution nimepata cha msingi kuifanyia kazi tu. 👏👏JF ina watu bright sana!!
kwa hiyo mkuu umeweza kupokea au?
 
Jamani wanajamii nina shida hapa inanisumbua kweli, hivi ina maana bank zetu hazifanyi kazi na Paypal account? Mtu aliye na jibu anisaidie jamani.
Unaweza kuunganisha itafanya kazi kwa malipo yani kuhamisha pesa kutoka bank kuja paypal, lakini haitoweza pokea ela uliyopokeapaypal kuja kwenye account hiyo ya bank unless ni refund labda kuna kitu umenunua mambo hayakwenda sawa na pesa ilitoka kwenye account yako ya bank.
 
Mkuu ukienda crdb mbona wanajiamini kama vile inawezekana? Hebu tupeane clarification ili tujue kama tunatumia safaricom au la maana ishakua shida.
 
Jamani wanajamii nina shida hapa inanisumbua kweli, hivi ina maana bank zetu hazifanyi kazi na Paypal account? Mtu aliye na jibu anisaidie jamani.
Replying in may! Je uliweza ku withdraw pesa? Kama ni Yes, je ulitumia njia gani? Tusaidiane hapo kidogo.
 
Mkuu ukienda crdb mbona wanajiamini kama vile inawezekana? Hebu tupeane clarification iki tujue kama tunatumia safaricom au la maana ishakua shida.
Wanakwambia hivyo ila angalia wao paypal wanakwambia kabisa tz hawapokei ela yani hata account ya paypal ya tz haipokei pesa. Mimi nina account nimeifungua kama niko kenya na nimeunga na safaricom so uwa napokea ela na naihamishia humo then naituma mpesa naidraw.
 
Kwa hiyo mpaka sasa unaweza kupokea Kwa njia hyo?
 
Kwa hiyo mpaka sasa unaweza kupokea Kwa njia hyo?
Mimi bwana kuna mwana JF kaniambia kuwa eti hiyo imewezekana kupokea, kwamba BOT wameruhusu hilo. Ila sasa nikiuliza wengine wananiambia kuwa haiwezekani, hapo ndio kuna shida kidogo, na Mimi nataka niende bank ili nithibitishe hilo maana lina doubts kidogo!
 
Mwaka wa tatu sasa napokea pesa toka paypal hata jana nimetoa ela paypal dollar 120
Sasa huyu mdau aliyeniambia kuwa BOT wameruhusu tangu mwaka jana naye vipi? Kwa maana anadai kuwa walitangaza sana tu kuhusu hilo!
 
Sasa huyu mdau aliyeniambia kuwa BOT wameruhusu tangu mwaka jana naye vipi? Kwa maana anadai kuwa walitangaza sana tu kuhusu hilo!
Hilo jambo hata mimi nililisikia mwaka jana, ila kuna wadau walienda bank humu na wakapost kule kona ya teknolojia kuwa hakuna kitu kamahicho na paypal bado wanaonyesha tz haiwez wihdraw pesa
 
Hilo jambo hata mimi nililisikia mwaka jana, ila kuna wadau walienda bank humu na wakapost kule kona ya teknolojia kuwa hakuna kitu kamahicho na paypal bado wanaonyesha tz haiwez wihdraw pesa
Oh! Sasa nitapataje ule mchakato wa Kenya kama alternative?
 
Back
Top Bottom