Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 31,139
- 88,800
Maisha ni kuchagua, hustle zako, pesa yako!
Mac Pro kutoka Apple official website inauzwa $8,000+ tu, mpya.
Kwa wataalamu wa computer, hii ni CPU peke yake bila screen (monitor yake), ila utapewa na touchpad na keyboard kwa hiyo bei.
(Total bei cheki picha hii kwa juu)!
Specifications:
RAM 64GB ukitaka 128 GB utaongeza $800 ukitaka 192GB utaongeza $1,600.
Apple M2 Chip
Hard disk 1TB
Blah blah blah ...
Ila kwa same price unapata EV zero kilometa kutoka kampuni kubwa BYD, Seagull.
Inakuja na range ya kilometa 305 ikiwa full charge, full package hauuziwi matairi separate kama Apple.
Mapinduzi ya EV kutoka China yanatakiwa yageukie nchi za Asia, Africa, Latin America nk na siai tuonje radha ya zero km.