Ukiwa mwongo sharti uwe na kumbukumbu

Ukiwa mwongo sharti uwe na kumbukumbu

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501
ImageUploadedByJamiiForums1434105057.745978.jpg


Soma iyo " huyu ni mmoja wa mgombea urais , nadhani tembo hawajui vema,
 
Nyalandu anataka urais apate muda wakuwatia mimba akina Uwoya...atawapa kazi ikulu wote dadeki...baraza la maziri lita jaa mashost wa bongo movie....Ivi alipewaje uwaziri...yaani huyu hata jimbo lake lisimrudishe bungeni...he is a failure as an individual
 
jamaa muongo, labda hao tembo mbegu fupi...
 
Huyu Jamaa Simkubali Kabisa.Toka Alivofanya Tour Na Yule Mbongo Mavi Kwenda Kutangaza Utalii Wetu.Ndo Nilimuona Kichwani Zero Kabisa Na Hajielewi.Akili Zake Hazimtoshi Hata Kumpa Udiwani.
 
Kwan wale wanaokaaga kwenye minazi ambao hupenda kunywa pombe ya mgema wanaitwaje???....Pengine alimaanisha hao
 
Back
Top Bottom