Ukiwa mwizi, ukiibiwa tuliza komwe

Ukiwa mwizi, ukiibiwa tuliza komwe

Shanily

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2024
Posts
958
Reaction score
1,803
Best yangu alikuwa na mume wake , mwanzoni walikuwa na mapenzi yaleee kiasi mume anaweza kuacha simu yake ndani akaenda sehemu bila wasiwasi wowote ule. Sasa ghafla mume akaanza kuondoka na simu yake , simu ikawa na password Kila sehemu , mke akaanza kushtuka huyu vipi imekuaje tena.

Mume anarudi nyumbani mapema anapitia vibarazani kwa watu anaongea na simu hata lisaa ndo anarudi kwake. Kama binadamu walivyo watakunyima chakula sio umbea, wakawa wanamletea ikafika hatua akawa anakuja kuongelea hapo hapo ndani. Tifu likaanza rasmi.

Basi mimi nikiwa naenda kwake ananihadithia yaliyopo , kama rafiki mwema namwambia usivunje ndoa Yako kwaajili ya mchepuko, mumeo si anarudi nyumbani, anatimiza wajibu wake kwako na watoto basi tulia, lakini wivu kwa wanawake ni shida.

Kuna kipindi tumekaa siku kama 3 hivi hatusalimiani na huyo best yangu, nikituma sms haziendi , nikasema kapatwa na Nini na sio kawaida yake , nikatulia tu maana kwakwe palikuwa mbali na nilipo. Jioni nikaona ananipigia. Shosti unahabari mie tena Sina Shosti nipange, ndo ananambia Mimi na Fulani tumeachana. Nikashtuka, heee!! Imekuaje!!! Maana nilienda kwakwe siku 3 nyuma nikawaacha shwari kbsaa na mumewe.

Akanihadithia ilivyokuwa ( story ndefu nikiianza mpka asubuhi). Katika hayo akanambia mumewe kampiga na kamtupia vitu vyake nje na talaka juu. Na hapo best yangu alikuwa ametoka kujifungua , akanambia kwahy sasa hivi nipo nyumbani bibie kafanikiwa kuharibu nyumba yangu.

Nikampa faraja pale kama imeisha na umerudi nyumbani huna kilema chochote basi mshukuru mungu tulia angalia wanao sasa.

Basi bibie ( mchepuko) akafanikiwa kuingia ndoani akaolewa rasmi tena mume akampeleka pale pale ambapo walipanga na best yangu. Bibie akaingia na matashtiti kibao.

Sasa baada ya miezi kama miwili hivi mwanaume akaanza kujirudisha kwa best yangu, mara oohh!! Haikuwa akili yangu mke wangu Bado Nakupenda sanaa , na maneno telee. Huku tena kwa bibie pakawa hapaliki hapalaliki ni kugombana Kila uchwao. Na best yangu nae alitumliwa ilihali mume Bado anampenda kwahy maongezi ya kimahaba yakawa yanaendelea kama kawaida.

Sasa Juzi kati mke kavizia mume kalala akaichukua simu yake na kuanza kuipekua , akakutana na sms za mahaba za Ma X Wacha apagawe🤣 mpaka simu ikavunjwa.

Kibao kimegeuga , mume anaongea na shosti wangu mbele ya mkewe, wanachati mpaka saa 6 ya usiku, mume anaulizwa vipi muda huu si upo na mkeo, anajibu aahh!! Achana nae. Hii ndo inaitwa karma.

Wakati mwenzie Kila siku alikuwa analia na kusononeka yeye alikuwa anafurahia kuchat na kuongea mpka usiku Mnene sasa hivi Yamemrudia analia na kusaga meno.

Bibie kama alipata Raha ni kipindi Cha uchumba pekee, tangu aolewe ni kulia, kulia na yeye, ubuyu tunaupataje best yangu alivyoondoka mwanae wa miaka 7 aling'ang'ana kubaki na baba yake basi akija weekend ndo stori tunapata, mara aambiwe hajui kupika 🤣 ilimradi tu tafrani.

Kwahiyo ukiwa mwizi siku ukiibiwa tuliza komwe dawa ikuingie vzriii. Shubamitiiii!!!!.
 
Mtulie tu sisi vidume tuna akili tunaitafakari mda wote ndio maana mimi napenda mwanamke wa kiafrika mda wote
 
Tlaatlaah Lucas Mwashambwa mkiwa vibaraka muwe mnapunguza UZi maana mnaonekana
IMG_1579.jpeg
 
Hili sakata limetokea kwa mtu wangu wa karibu kbsaa.

Alikuwa na mume wake , mwanzoni walikuwa na mapenzi yaleee kiasi mume anaweza kuacha simu yake ndani akaenda sehemu bila wasiwasi wowote ule. Sasa ghafla mume akaanza kuondoka na simu yake , simu ikawa na password Kila sehemu , mke akaanza kushtuka huyu vipi imekuaje tena.

Mume anarudi nyumbani mapema anapitia vibarazani kwa watu anaongea na simu hata lisaa ndo anarudi kwake. Kama binadamu walivyo watakunyima chakula sio umbea, wakawa wanamletea ikafika hatua akawa anakuja kuongelea hapo hapo ndani. Tifu likaanza rasmi.

Basi mimi nikiwa naenda kwake ananihadithia yaliyopo , kama rafiki mwema namwambia usivunje ndoa Yako kwaajili ya mchepuko, mumeo si anarudi nyumbani, anatimiza wajibu wake kwako na watoto basi tulia, lakini wivu kwa wanawake ni shida.

Kuna kipindi tumekaa siku kama 3 hivi hatusalimiani na huyo best yangu, nikituma sms haziendi , nikasema kapatwa na Nini na sio kawaida yake , nikatulia tu maana kwakwe palikuwa mbali na nilipo. Jioni nikaona ananipigia. Shosti unahabari mie tena Sina Shosti nipange, ndo ananambia Mimi na Fulani tumeachana. Nikashtuka, heee!! Imekuaje!!! Maana nilienda kwakwe siku 3 nyuma nikawaacha shwari kbsaa na mumewe.

Akanihadithia ilivyokuwa ( story ndefu nikiianza mpka asubuhi). Katika hayo akanambia mumewe kampiga na kamtupia vitu vyake nje na talaka juu. Na hapo best yangu alikuwa ametoka kujifungua , akanambia kwahy sasa hivi nipo nyumbani bibie kafanikiwa kuharibu nyumba yangu.

Nikampa faraja pale kama imeisha na umerudi nyumbani huna kilema chochote basi mshukuru mungu tulia angalia wanao sasa.

Basi bibie ( mchepuko) akafanikiwa kuingia ndoani akaolewa rasmi tena mume akampeleka pale pale ambapo walipanga na best yangu. Bibie akaingia na matashtiti kibao.

Sasa baada ya miezi kama miwili hivi mwanaume akaanza kujirudisha kwa best yangu, mara oohh!! Haikuwa akili yangu mke wangu Bado Nakupenda sanaa , na maneno telee. Huku tena kwa bibie pakawa hapaliki hapalaliki ni kugombana Kila uchwao. Na best yangu nae alitumliwa ilihali mume Bado anampenda kwahy maongezi ya kimahaba yakawa yanaendelea kama kawaida.

Sasa Juzi kati mke kavizia mume kalala akaichukua simu yake na kuanza kuipekua , akakutana na sms za mahaba za Ma X Wacha apagawe🤣 mpaka simu ikavunjwa.

Kibao kimegeuga , mume anaongea na shosti wangu mbele ya mkewe, wanachati mpaka saa 6 ya usiku, mume anaulizwa vipi muda huu si upo na mkeo, anajibu aahh!! Achana nae. Hii ndo inaitwa karma.

Wakati mwenzie Kila siku alikuwa analia na kusononeka yeye alikuwa anafurahia kuchat na kuongea mpka usiku Mnene sasa hivi Yamemrudia analia na kusaga meno.

Bibie kama alipata Raha ni kipindi Cha uchumba pekee, tangu aolewe ni kulia, kulia na yeye, ubuyu tunaupataje best yangu alivyoondoka mwanae wa miaka 7 aling'ang'ana kubaki na baba yake basi akija weekend ndo stori tunapata, mara aambiwe hajui kupika 🤣 ilimradi tu tafrani.

Kwahiyo ukiwa mwizi siku ukiibiwa tuliza komwe dawa ikuingie vzriii. Shubamitiiii!!!!.
Hapa umbea ulimkaba na sehemu ya kuumwaga hana kaona autupe jf ila wanawake kiboko aisee
 
Faida ya kupokezana maumivu tu hakuna kingine my dear. Mtu aliyekutoa katika nyumba Yako kwa hekaheka ukipata fursa yakumbutua na wewe mbutue tu.

Nimeshangazwa na bibie kuumia wakati alikuja na matashtiti.
Mimi naona kama angerudishwa yeye ndoani hapo ingekuwa safi ila amejirahisisha hapo mwanaume ataendelea kumdanganya tu na kula huku na huku
 
Back
Top Bottom