Ukiwa Mwanaume wa Ukweli shida tupu!

Ukiwa Mwanaume wa Ukweli shida tupu!

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,190
Wakubwa zangu shikamooni!

Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


Kwanza kabisa nashow some love to JF dar wing waliomake things happen kwenye White Party! Mtambuzi uko juu sana my Broder! Mambo yalikuwa TBC 1 Ukweli na Uhakika! Madame B kazi ilipendeza! Vin Diesel mlisababisha sanaa! Party yoyote mkiacha kunialika I WILL BE REALY REALY OFFENDED!!!!!!!

BACT TO TOPIC

Times are changing! And they are changing so fast for the worst! Wanawake wamekuwa heartless kabisa! Wanaume wa ukweli wamepungua sanaaa imebaki migumegume basi akitokea Masali Mmoja wa wanaume wa ukweli wanawake tunatoana roho yarabiiii! Inageuka survival of the fittest ambayo inamwacha yule mwanaume a very UNHAPPY MAN!

Wanaume siku hizi kwanza hawajui kufunga zipu za suruali, hivo unakuta mtu kamaliza chuo tayari ana mtoto mkubwa aliemzaa chuo au sekondari, akipata kazi anafyatuliwa kingine na mama mwengine, so kukuta mwanaume anakwambia sijaoa ila nina watoto 2 wakubwa si jambo la kushangaza! Achia mbali wale wanaume mnafanya wote kazi wanakupiga mizinga kama kawa! Hapo hutoki nae, ukitoka nae si atakugeuza ATM! Acha tabia ya umaloon, anakutongozeni wewe, mashosti wako hadi waadogo zako, ataekubali keshaenda na maji! Basi imekuwa so frustrating kwa sie wadada!

Akitokea mwanaume anajielewa, good looking, mcha Mungu, ana maendeleao anawindwaje sasa! Sio kwa Ofa, SMS, Treats za kila namna! Kila mtu napotaka yeye ni hapo tu! Survial of the fittest! Sasa wanaume wanaponzeka na huu mchuano na most of the time wanaoshinda ni ile Migubegube ya jiji! Mwanaume anawaringia wadada wenye maadili na kuangukia mikononi mwa gube gube!

Kuchamba Kwiingi Kutoka na Mavi! Wanaume wa ukweli punguzeni kuachagua sanaaa mtaishia kupata migubegube tu!
 
Wale wanaofata pesa ndio mara nyingi wanaangukia pabaya.......
 
bidada ckuzote mchagua sana nazi huibuka kwenye koroma, sasa kama mwanaume kashaona anagombaniwa bichwa ndio linaexpand anaaanza kuongeza vigezo vya atakayewin competition , hapo ndo ufake unaaply akija kushtuka ishakua NINGEJUA.silipendi hili neno
 
Kwanini ukiwa mwanaume wa kweli shida tupu?

Sijakufahamu bado, mana navyo fahamu mimi mwanaume wa kweli hapati shida.
 
namshukuru sana Mungu nilizaliwa zamani.
haya sipo tena manake sihitaj tena wa kutoka nae zaid ya 4 boys wangu, na baba yao akileta shobo anafungiwa vioo life inasonga mpango mzima.

lkn tukirudi kwenye uhalisia wa maisha ya kileo wote vijana wa kiume na wa kike hawajui wanachokitaka ukisema ni swala la hela hata wakiwa nazo sio credit yao ya kutulia, ukisema ni swala la uzuri hata wawe kama malaika sio sababu ya kuwa watulivu, ukisema ni mgegedo basi hata wawe wanapeana utamu bado tu haiwatoshi kutulia.

kwangu mimi imenifanya nirudi kwenye maandiko matakatifu na kuona kwamba haya yanayotokea leo ni sawa na yale yaliyosababisha gharika ama sodoma na gomora kuwaka moto.

jambo la msingi la kufanywa na mtu binafsi(kijana) ni kujitambua thamani yako irrespective of your sex kisha kuangalia wajibu wako kwenye ulimwengu wa mapenzi ni upi na kumwomba mungu atimize haja za moyo wako.
 
Kwanini ukiwa mwanaume wa kweli shida tupu?

Sijakufahamu bado, mana navyo fahamu mimi mwanaume wa kweli hapati shida.
fazaa usishindwe kumuelewa lara 1, dunia ya ujana ya leo imekuwa ya competition kuliko ilivyotarajiwa.

kwasasa kuwa mkaka ama kuwa mdada hakuna tofauti lijapo swala la kutongozana.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ni kuwa wanaume wengi wa ukwel they are already taken, yamebaki makapi...so imebaki tutabanana hapahapa....its a bitter truth!!!

wanawake wa ukweli bado tupo eeeennhhhhhhhhhhhhhhhh available
 
Is this all with regard to MWANAUME WA UKWELI?

Je pefomansi yake kwenye Naniliu hai'count?
Mwache tu kaka si unajua kitu cha Arusha kimempanda , hapo yuko fully stimu za kuranduka..............!:becky:
 
Tatizo ni kuwa wanaume wengi wa ukwel they are already taken, yamebaki makapi...so imebaki tutabanana hapahapa....its a bitter truth!!!

Ukienda jalalani lazima uone makapi. Hujui na huelewi wanaume wa ukweli wanapatikana wapi!

Fake
 
Complicated, si rahisi kivile
Tumechakachuka jinsia zote tu

Ila bora mwanamke achakulike kuliko Mwanamme, CEO of the family
 
Yan sijuw dunia ya sasa inaelekea api maan.. Imagine hata hao wa ukweli waliooa..wanatongoza wadada na mabinti wa ukoo mzima!!!
Ukimpata wa ukweli either akili zake za kitoto..hamuendanii.. Ama ndo uamsho af we wa kakobe bas tabu tupu!!
Ukija alie atlst ndo material,basi ndo mr .sina,hali mbay kila sikuu..umpe wewe hata vocha!
Yan kilichobaki ni kumuomba Mungu kumwambia unachotaka,unaemtaka na kuwa na imani utampata..otherwise duh utajikuta unatumika kama sabuni..tena ukute bdo mashalah mjini sura na umbo..vyote vipo..uwiiii anakufanya show room!!
 
Back
Top Bottom