Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,801
Teacher wa machizi aliwapeleka wanafunzi wake baharini kurelax,chizi mmoja akawa amekaa pekeyake pembeni teacher akamuuliza kwanini umekaa pekeyako chizi akamjibu napiga hesabu hii bahari ingekua supu ningetumia chapati ngapi?