Ukiwa kwenye stress akili inabuni ndoto kama movie kabisa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,579
44,825
Ukiwa unapitia katika stress usiku usingizi huwa unakata huwezi kulala fofofo,sasa ule usingizi wa round nyingine baada ya kushtuka kuna ndoto fulanifulani huwa zinaendelea akili lakini ni kama vile wewe ndo unakuwa director yaani simulizi unaipanga script moja na nyingine na zote zinapatana na akili ya uhalisia.Na mpaka watu uliowahi kuishi nao wanakuwepo kama wahusika unaweza ukachukua mmoja wa primary mwingine wa secondary na wote waka perform scene unayoiota.

Na kama ni mtu mcheki porno usiku kijana wa ovyo ambaye macho yamejaa uzinzi basi unaweza ukaota unacheza x kabisa na mpaka style mpya unaweza ukaibuni wewe.Ubaya wa hizi ndoto uchangamane na ka sleep paralysis unajikuta kama vile unaishi kweli kama ni mtu wa comedy utajikuta unaigiza vitu vya comedy ndotoni ambavyo ni kweli vinachekesha.

Nahisi hata watunzi wengi wa Sanaa,maarifa,ubunifu humu duniani huvitunga wakiwa katika situion hio ila wanaposhtuka fasta huku moyo unaenda mbio palepale wanayaandika yale ma idea katika mpangilio baadae ndo wanaedit.
 
I second you
Aisee kama leo nimeota nimefika kilwa kikazi nikatafuta chumba cha uswazi lakini baadae nakuja kugundua kile chumba nilishakipanga kwa mama mwenye nyumba kwamba nimekilipia mwaka mzima nikamuwaga naend a mjini cha ajabu natokea sebuleni kwake nakuta watoto wanacheki movie hawajanisalimia mwingine mdogo anaumwa kikohozi analia yaani wote wanakuwa wapo active wote nawachezesha mwenye kushika remort mwenye kukaa chini kila mtu kwenye position yake.nikachukua boda ila akawa anayumba Road namuuliza au umelewa baadae kabisa nakuja kugundua ni teja anajichoma sindano kupitia mguu maana umevimba na ana mabarango.namwelekeza anipeleke chimbo la malaya ananipelekea anakuja dada mmoja pembeni kuna katoto kanavutwa na mbaba katoto kadogo ila no one care naona tu wabibi wanakunywa pombe za kienyeji kelele za mziki




Yaani inshort mambo yanaendelea kichwani yanaenda automatically lakini namimi nayaongezea mbwembwe kidogo ila ziko automatically yaani sizifikirii zenyewe tu kutokana na uzoefu wa maisha.
 
Ule usingizi wa pili umenifanya nimuotee mrembo wa kipemba aliyenitesa sana huku akijua nampenda... Anyway ,,,Fau nakutakia ndoa njema huko uliko.
 
Back
Top Bottom