RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,745
- 107,897
Huku Mbagala kwenye dimbwi la umasikini kuko shwari tu!
huko ndio kuna mabingwa wa ROBA ZA MBAO!!!!!!!!!!!!!!!
Huku Mbagala kwenye dimbwi la umasikini kuko shwari tu!
Habari hii tu Waandishi kumi...! Dah!Uhalifu, mauaji nje nje!
Imeandikwa na Anastazia Alfred, Magdalena Balisidya, Amina Mrope (DSJ), Beatrice Shayo, Restuta James, Joseph Mwendapole, Richard Makore, Moshi Lusonzo, Romana Mallya na Eliwinjuka Shani.
CHANZO: NIPASHE
Jamani hayo Matatizo ya uhalifu na uuwaji yatakwisha lini hapo DAR?
Huku Mbagala kwenye dimbwi la umasikini kuko shwari tu!
Hata huku kwetu nyuma ya mayfair plaza (maandazi road) nako shwali
Umenichekesha sanaHuyu bila shaka ni mmoja wao.
Habari hii tu Waandishi kumi...! Dah!
mkuu! bongo sio salama kabisa!!!
Ninawafahamu in person, watu wanne ambao wamefunga nyumba zao huko Mbezi, makongo na Kigamboni na kuhamia Sinza kwenye nyumba za kupanga!!.......
Ni noma mazee!!
Mkuu ina maana wamekwenda kufanya utafiti kisha habari inakuja just 5 lines...! Sikubaliani na ilo, watafute kazi za kufanya bana si uhandishi wa mistari ya kuhesabika.Mkuu Dar ni kubwa na wameleta taarifa za sehemu nyingi kwahiyo walisambaa kwenda kwenye hizo kona kutafuta hizo taarifa
Mkuu mbona unaleta Ubishi wa simba na yanga? Muandishi wa habari gani ambaye anaweza kuleta hiyo habari peke yake? Mkuu X-PASTER unatoka wapi wewe Tanzania? Unajuwa Dares-Salaam ni mji mkubwa na ni Jiji kubwa katika hapo Tanzania? Mji wa Dares-salaam unakaribia watu Millioni 5 unayo hiyo Habari mkuu X-PASTER?Mkuu ina maana wamekwenda kufanya utafiti kisha habari inakuja just 5 lines...! Sikubaliani na ilo, watafute kazi za kufanya bana si uhandishi wa mistari ya kuhesabika.
Si ubishi wa simba wala yanga, ila habari ipo too shallow, nilitegemea habari ingekaa ki-research zaidi... Any way wacha tuwape ongera ngaa kidogo.Mkuu mbona unaleta Ubishi wa simba na yanga? Muandishi wa habari gani ambaye anaweza kuleta hiyo habari peke yake? Mkuu X-PASTER unatoka wapi wewe Tanzania? Unajuwa Dares-Salaam ni mji mkubwa na ni Jiji kubwa katika hapo Tanzania? Mji wa Dares-salaam unakaribia watu Millioni 5 unayo hiyo Habari mkuu X-PASTER?
Sasa unataka wakale wapiii??? Maisha ni timing tu,
Mkuu ina maana wamekwenda kufanya utafiti kisha habari inakuja just 5 lines...! Sikubaliani na ilo, watafute kazi za kufanya bana si uhandishi wa mistari ya kuhesabika.
Mkuu habari za kuwajibika ndugu yangu, mi nipo poa kabisa, ila hizi habari kwa uoni wangu hazijitosherezi kabisa, yaani waandishi kumi...! Mwandishi mmoja angetosha sana kutuhabarisha mkuu.Mkuu X-PASTER hiyo mistari mitano umeihesabu wapi? mbona naona zaidi ya mistari mitano? labda nahesabu kingumbaru. Mzima lakini Mkuu?
We mmoja wao nini? huwezi kutoa kauli kama hiyo kwa wahanga ka sisi. Mimi tarehe 28/5/10 mdogo wangu alipigwa risasi nyumbani kwake Mbezi. Tukamzika tarehe 1/6/10. Wewe leo unasema wakale wapi? Hata haya huoni. Mods I think this guy need he dont deserve to be here. Tunakutaka uombe radhi kwa kauli yako