Napendelea suruali za vitambaa,si za kubana kama zile za wahuni na si za kupwaya sana kama zile za walokole.
Mashati ya mikono mirefu kisha nakunja kidogo kuruhusu saa ionekane, na chini napendelea viatu visivyo na visigino jamii za sebago.
jeans ni suruali za kazi badala ya covaroli au za kuendea safari miezi haitaji kufua sisi ndio tunatokea kuna hotel zingine majuu huruhusiwi kuingia na jeans hata bunge letu minguo utafikiri wanaofunikia magari yazipigwe jua na mvua