Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,824
Mi yani sijali ronjo wala mguu kwenda upande,ivo ndo najiona comfortable japo hata magauni marefu navaa sanawenzetu wanajiamini na mironjo yao.!
Mi nikivaa baibui napendeza...juu ninja style.
picha yangu nikivaa?Weka picha
Ndiyooooopicha yangu nikivaa?
ItakuwaDoubtlessly wewe ni mwenyeji wa Chuttle.
haya ngoja nikiamka nikivaaNdiyooooo
ukisubiri guu linenepe tutazeekaMi yani sijali ronjo wala mguu kwenda upande,ivo ndo najiona comfortable japo hata magauni marefu navaa sana
Hahahaa. Ntakuja nako aisee .Uje na kapicha mpenz
Weka picha tuoneMie chochote tu
Baibui ndo sana,
Madera vijora
Jeans
Leggings
Magauni isipokua ya mpira najiona niko bombaa
Uko sahihi kabisa...tunadumisha utamaduniMapigo haya ni ya machalii ya R
Kabisaaaaaaaukisubiri guu linenepe tutazeeka
Naomba nikuone unavovaaUko sahihi kabisa...tunadumisha utamaduni
Hahahaha nakusalimia shemAvatar yako imemaliza kila kitu mpenz
Doubtlessly wewe ni mwenyeji wa Chuttle.
MarahabaaaaaHahahaha nakusalimia shem
Wapo vzr sanaView attachment 731080 Wazee wa kutokelezea wa enzi hizo!
Utajikwaa kwa mwendo huo.Sijui hata. Ila nipe kazi baadae nikitoka nitajicheck halafu nitaleta mrejesho. Hahahaaaa.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]