gody_emily_mahenge
Member
- Sep 2, 2016
- 59
- 21
Ukuaaje unatoka chicha
Live maana kuna vijana wanavaa suruali zinabana kuanzia magotiniBora hao hawajavaa zile sururali zinawabana kama wanawake.
Chura anaonekana vzr au?Nikivaa gauni langu refu mpaka chini na kiatu kirefu kidoogo bila kusahau mtandio juu basi hapo najiona niko bomba sana yaani.
Sijui hata. Ila nipe kazi baadae nikitoka nitajicheck halafu nitaleta mrejesho. Hahahaaaa.Chura anaonekana vzr au?

Make sure na picha haikosiSijui hata. Ila nipe kazi baadae nikitoka nitajicheck halafu nitaleta mrejesho. Hahahaaaa.
![]()
![]()
![]()
![]()
Hahahaa. Lol.Make sure na picha haikosi
Niongeze kwenye tag list ukileta huo mrejesho .. hahahSijui hata. Ila nipe kazi baadae nikitoka nitajicheck halafu nitaleta mrejesho. Hahahaaaa.
![]()
![]()
![]()
![]()
Kama hivi?Napenda gauni fupi ,ya kumwaga chini na viatu virefu,,najionaga mchaaaro
Hahahaa. Sawa rafiki.Niongeze kwenye tag list ukileta huo mrejesho .. hahah
ukileta huo mrejesho usisahau kunitag rafikiSijui hata. Ila nipe kazi baadae nikitoka nitajicheck halafu nitaleta mrejesho. Hahahaaaa.
![]()
![]()
![]()
![]()