Ukitumia msemo wa kula na kipofu, je Tanzania ni mwenye macho au kipofu?

puza46b

Member
Nov 3, 2010
91
261
Naangalia tamthilia inaitwa zoo na naona kila mlima kilimanjaro ukitokea Tanzania haitajwi. Ila wakionyesha nchi nyingine yoyote yenye utalii hiyo nchi inatajwa.
Kuna orodha kubwa ya movie na tv show zinataja kilimanjaro ipo kenya.
Saa nyingine watataja kilimanjaro au serengeti lakini hawasemi Tanzania.
Swali..ni kwanini mpaka leo Tanzania haina hati miliki ya picha na majina ya sehemu za utalii ili walazimishe kutangaza nchi?
Au ndo sisi ni vipofu katika huu mlo?
 
Tanzania ni kipofu, kiziwi, na hana sense zingine tatu za kunusa, kugusa na kuonja
 
Back
Top Bottom