Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Hakuna namnaNgono! ngono! ngono!!!!!! Everywhere
Man Down!
I repeat man down!
Ishiiii ukitongoza hivo humpati .
Wewe cheza na alipopungua jamaa, kupitia Demu mwenyewe.
Au tongoza tu liwalo naliwe , unachukulia kama hana jamaa.
Alafu mkonyeze "Mimi nataka tufanye mambo yetu kisiri siri kama watu wazima, akiwepo Jamaa/Mumeo usinitafute kabisaaaa "
Hapo unakua umemmaliza 100%.