Ukitoka safari unaweza mpelekea mwanamke zawadi gani?

Kwa mwanamke anayekupenda kweli huwa hawataki mambo makubwa, mchukulie vichupi, ama kamkufu ka silver, kanga/kitenge/blauzi chochote huwa wanashukuru
 
Familia zinatofautiana..

Wangu mimi friji lisiwe tupu tu kwa hiyo nikishuka kwenye bus cha kwanza nikupitia mabucha ya samaki nyama na vinywaji
 
Back
Top Bottom