Ukitoka safari unaweza mpelekea mwanamke zawadi gani?

Kikombe Cha Shahawa, hapa ndio atakupenda kuwa ww Ni mwaminifu ila munakutana bed unamwaga punje ya haradari hata Kama umempelekea gari ataona haifai
 


"Buy me diamonds and rubys and crazy bow Bentleys
Gucci dresses and drop top compresses
Wine me and dine me bring those platinum rings
Those are a few of my favourite things
What I need is a gentleman
That does the best he can
There to hold my hand
I want him to understand
Of course I want diamonds and expensive things
'Cause a girl gotta have her favourite things" - BV
 
Habari za muda huu JF?

Je huwa ukitoka safari unamnunulia mwanamke zawadi?

Kama ndiyo, ni zawadi gani unapenda kumnunulia/anapenda kuletewa?

Karibu...
Nilimletea harufu ya pombe..wakati nilishamuaminisha nimeacha......kilinuka wazee...mpaka majirani ambao hata hatukutaka wajue matatizo yetu ya home walikuja kushuhudia varangati...shemeji yenu anapiga kelele eti "anaiuaaa..njooni mnisaidieee"...wakati mimi Niko zangu mbali hata sijamgusa asee.....nimeamini wanawake HAWATABIRIKI....ila atajua mwanaume HACHEZEWI
 
Habari za muda huu JF?

Je huwa ukitoka safari unamnunulia mwanamke zawadi?

Kama ndiyo, ni zawadi gani unapenda kumnunulia/anapenda kuletewa?

Karibu...
Wa enzi zetu hata ukimletea kilemba(kitambaa Cha kichwani),atakushukuru kwa magoti Tena yale ya Kisukuma.
Hawa wa kwenu sasa hv,we mperekee moto tu ukifika hm,mpe muhogo wa jangombe atakuelewa tu.
 
Back
Top Bottom