Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Mwananchi toka mkoa fulani amevaa neti kama gauni
Zina matumizi mengi tu mbona
Kama wavu wa goli
Mtego wa samaki
Mtego wa ndege
Chujio la uchafu
Hakika tumizi moja likiisha lingine hupokea...