Ukitoa kufuata Mkumbo, Kutumia umeme kupika ni nafuu kuliko Gas na mkaa

Naomba link boss maana Kariakoo nyoko sana Muhindi ana bei si mchezo
Nimeona kule Telegram kuna MTU katupia Nadhani ni wewe!!!
Je kiafya inafaa kweli?
00000IMG_00000_BURST20230920070018882_COVER.jpg
 
Nakuelewa mambo ya nyama choma mara makande!
wakati nakuwa tulipika makande kwenye umeme sufiria inatengwa inawekwa moto mdogo sanamaji ya kutosha asubuhi ...,tukitoka skuli saa 8mch tunakja kuyaunga tu ..hata kwenye mafuta ya taa ni hivyo tu...ila kuna pressure cooker walikuwa wanatumia wakubwa kitu fasta tu tayari...japo ujio wa gesi wazee waliufuata ila kwenye kuoka bado wanatumia umeme na bado ni nafuu sana....elimu tuliyokuwa tunapewa wakati ule..lazima utumie sufuria yenye kitako sawa flat na nzito(alminium) haipotezi joto na pia sufuria lazima ilingane na plati ya jiko plate isiwe kubwas au ndogo ilingane na sufuria umeme haupotei alafu jiko lina sensa joto likiwa kiasi fulani linamaintain hilo hilo kulingana na namba ya moto uliyoweka hivyo umeme unatumika vizuri...
 
Hizo zilikuwa hotplate kama sikosei!!!!
Sasa kuna hizi indiluction cooktop ndio chap 100%
 
Vuta picha una buke jero ya ngama ukatia umeme ili uivishe ugali badala ya kununua mkaa wa buku then ile umebandika tu sufuria unawasha jiko umeme unakata, Vp hapo hujashinda njaa? Kiufupi issue sio watu kutokutumia njia fulani kwa sababu ya changamoto za awapo njiani bali kutokutumia njia fulani kwa sababu haina uhakika wa kumfikisha aendapo.
 
Unapika zako wali haujakaukia vizuri
Mara paaa TANESCO wamefanya yao

Km upo apeche alolo mfukoni unashinda njaa dadek

Jamani msitoe sababu ya kukatika kwa umeme yeye maoni yake kama umeme upo kama kaaida halipo tatizo la kukatika. Je jiko la umeme na gesi kipi ni nafuu kwa matumizi
 
Linapo kuja swala la number watu wengi ni wavivu sana, na tumebakia kufuata mikumbo tu kwamba Umeme ni ghari sana kupikia na gas ni rahisi sana ila kwenye hesabu ni tofauti kabisa.

Unit 1 kwa sasa ni kama sh 357 hivi na ukiwa na sh 5000 unapata unit 14, je unit 14 kama ni kupika pekee unaweza pikia kwa siku ngapi?

Shida inakuja pale ambapo unakuta matumizi ya umeme ni mengi sana, Kupasi, taa, Radio, TV, fridge na mashine zingine za jikoni plus jiko la umeme na hapa sasa jiko la umeme huangushiwa lawama zote za kutumia umeme mwingi.

Na pia wengi hatujui kuna sufuria special za kutumiwa kwenye jiko la umeme na kuna za kutumiwa kwenye jiko la gas, sisi ni kanyaga twende hapo ndio shida inapoanzia.

Ila kama una line special ya jiko pekee utagundua kwamba kutumia jiko la umeme ni nafuuu kuliko gas.

Njoo pia umeme wa sh 1500 unaweza ivisha chakula na unit zikabakia, ila huwezi pata hata mkaaa wa sh 1500 wala gas ya sh 1500

Watu hawajakaa chini wakapiga hesabu na ndio maana nyumba za Wazungu wengi hata hapa Bongo wanapikia sana Umeme kuliko gas.
Unaishi Tz ipi hiyo? Kwa dar tu nikinunua mkaa wa 1000,napikia maharage na ubwabwa tena hadi wa kubanikia kabisa, na unatosha, huko kwingine mkoani gunia zima unalipata kwa sh. 6000!!sio kweli kwa jiko la umeme unit 1, ni dk sifuri tu, nimeshajaribu sana, nenda kwenye quarter za askari, uwaulize kilichowapata baada ya kila nyumba kufungiwa mita yake ya umeme!! Yote yalifungiwa store, jiko la umeme kwa maisha yetu haya!! Eti nyumba za wazungu wanatumia umeme hahaaa, sasa maisha ya mzungu kweli? Atatumia mkaa.
 
Harafu wazungu wanapika vitu soft soft hawapiki maharage na makande
 
Linapo kuja swala la number watu wengi ni wavivu sana, na tumebakia kufuata mikumbo tu kwamba Umeme ni ghari sana kupikia na gas ni rahisi sana ila kwenye hesabu ni tofauti kabisa.

Unit 1 kwa sasa ni kama sh 357 hivi na ukiwa na sh 5000 unapata unit 14, je unit 14 kama ni kupika pekee unaweza pikia kwa siku ngapi?

Shida inakuja pale ambapo unakuta matumizi ya umeme ni mengi sana, Kupasi, taa, Radio, TV, fridge na mashine zingine za jikoni plus jiko la umeme na hapa sasa jiko la umeme huangushiwa lawama zote za kutumia umeme mwingi.

Na pia wengi hatujui kuna sufuria special za kutumiwa kwenye jiko la umeme na kuna za kutumiwa kwenye jiko la gas, sisi ni kanyaga twende hapo ndio shida inapoanzia.

Ila kama una line special ya jiko pekee utagundua kwamba kutumia jiko la umeme ni nafuuu kuliko gas.

Njoo pia umeme wa sh 1500 unaweza ivisha chakula na unit zikabakia, ila huwezi pata hata mkaaa wa sh 1500 wala gas ya sh 1500

Watu hawajakaa chini wakapiga hesabu na ndio maana nyumba za Wazungu wengi hata hapa Bongo wanapikia sana Umeme kuliko gas.
Ni kweli ndugu, nina rafiki yangu alinunua electrical multicooker. Kwakua wanatumia wawili mita moja akasema amonitor atatumia units ngapi for the first day. Meter yao ilikua na unit moja na point kadhaa. Wakazima kilakitu, akaanza kupika maharage katika hiyo multicooker, akayaunga, akaweka pembeni, akapika na wali katika multicooker hiyo hiyo, akasaga na juice. Cha ajabu walikuta points katika mita, i mean hiyo meter moja ilibaki licha ya matumizi haya yote. Sasahivi rafiki yangu ni balozi wa kujitegemea kuwaambia watu wanunue hivi multicooker.
Mimi najipanga pia kununua.
Pia niliona mfanyabiashara wa haya madude alisema ukiliwasha non stop masaa matatu ndio linamaliza unit moja.
 
Back
Top Bottom