Kupikia mkaa na gesi gharama kubwa kuliko umeme

uzio usio onekana

JF-Expert Member
Apr 21, 2019
776
2,404
Unajua sisi kinacho tuogopesha kutumia vifaa vya umeme nikulinganisha vifaa vya umeme vya zamani na saizi.

Tunasahau kwamba vifaa vya umeme vya zamani na saizi ni tofauti sana na vifaa vya umeme vya saizi vimeboreshwa sana kuanza vinafanya kazi kubwa halafu vinatumia umeme kidogo. Kwa mfano hapa nyumbani mimi kwa siku nikinunua umeme wa sh. 1000 unatosha kabisa kupikia lakini siku umeme ukiwa haupo natumia mkaa wa sh. 3000

Na Tatizo la gesi zinachangamoto nyingi kwa mfano unaweza ukauziwa gesi yenye gesi kidogo bado zile koki za gezi ni feki ni balaa muda mwingi unakuta vinavujisha gesi kila nikinunua gesi na lazima ninunue na koki.
 
Back
Top Bottom