Ukitoa kufuata Mkumbo, Kutumia umeme kupika ni nafuu kuliko Gas na mkaa

Hata hivyo induction cooker inapendeza kwa bachelor sio familia kubwa.
Muda wote nimefikiria hivyo kuwa hayo majiko ya umeme ya induction yanafaa kwa mabachelor. Sijui sisi wenye familia kama yapo yenye oven pia na kama ufanyaji kazi wake ni the same.
 
Muda wote nimefikiria hivyo kuwa hayo majiko ya umeme ya induction yanafaa kwa mabachelor. Sijui sisi wenye familia kama yapo yenye oven pia na kama ufanyaji kazi wake ni the same.
Boss Mimi Nina familia ya watu 6 chai nachemsha kwa unit 0.4 mihogo ya kutosha familia nzima unit 0.8 jumla inatumika unit 1.2 na hapo tv imewashwa na chumba jirani anatupigia kelele na Sea piano lake hapo ni Jero tu imetumika ingekuwa mkaa huku Manzese ungetumia wa tsh 1200
Unit sahihi inazotumia jiko pekee kupikia sijajua Bado so J2 nitapika kilo 1 ya Maharagwe tuone.
 
Hili Jiko kwa Dar linaoatikana wapi? Kuna kitu nimegunduwa wengi hatuna taarifa sahihi.
Mimi natumia brand ya PESKOE niliagiza uchina pamoja na set ya sufuria, frying pan na vikorokoro vingine.
Kariakoo yanaweza yakawepo ila ya kampuni zingine bei nayo yaweza ikawa imechangamka SI ajabu ukauziwa kwa 150-200K Jiko bila masufuria
 
3500W sijui nitapikia nn, imagine 2200W tu temperature huwa inafika 350°C.

Deep frying unafanya kwenye around 1800 watt tu.

Mimi huwa naweka 2200W kama nataka kuchemsha kitu sababu najua kitachemka haraka.

Ila vyakula vingi napika kwa 1000w mpaka 1300w.

Wali napika kwa 1300W na maji yakianza kukauka nashusha mpaka 500w unakauka vizuri na hauungui.

View attachment 2724912

Hii table imeexplain vizuri sana.
IMG_20230825_073252_876.jpg

3.jpg

Kamanda Mimi pia nina King of Stir Fry ya Watt 3500 kama ya Mwamba SPYMATE .
Cooktop ina mode 8 zilizosetiwa Mahsusi kama zinavyoonekana hapo chini:-
1.Slimmer 2000W
2.Steaming 3500W
3.Boiling water 3500W
4.Slow Fire 800W
5.Martial/strong fire 3500W
6.Hotpot 3500W
7.Boil porridge 2500W
8.Stir fry 240W
Hiyo no 2,3 na 5 zote ni 3500W ila mapigo tofauti.
Huwa nazitumia hizo badala ya kuset manual, Chai na maji ya kuoga natumia hiyo mode 3, kuchoma chapati na kupasha moto viporo Mode no 4-800W kukaanga Samaki na maandazi mode 8.
Wali napeleka mode 1 then namalizia mode 4 kukausha na hakuna cha kuunguza wala nini.
Nyama na Kande etc 3500w then nashusha
KUhusu kucheza Manual ili lina utofauti kidogo Maana lenyewe lina mfululiza ufuatao:-
1. 400
2.800
3.1000
4.1500
5.2000
6.2500
7.3000
8.3500
 
Ebwana ehe mi napikia ugali 800W kitu shwa 0.3-0.4.
Mboga ya majani 240W dk 3 tayari
ugali unaupikaje kwenye hiyo 800W maana moto upo chini sana unapanda na kushuka?
Kama kukaanga mayai au kupika mboga mboga sawa ila ugali ni Uongo maana utadoda labda uanzie 1500W na kushuka hadi 1000
 
3500W sijui nitapikia nn, imagine 2200W tu temperature huwa inafika 350°C.

Deep frying unafanya kwenye around 1800 watt tu.

Mimi huwa naweka 2200W kama nataka kuchemsha kitu sababu najua kitachemka haraka.

Ila vyakula vingi napika kwa 1000w mpaka 1300w.

Wali napika kwa 1300W na maji yakianza kukauka nashusha mpaka 500w unakauka vizuri na hauungui.

View attachment 2724912

Hii table imeexplain vizuri sana.
Kwa sie wenye familia na majungu makubwa hiyo 3500 ndio muhafaka
 
View attachment 2730343
View attachment 2730282
Kamanda Mimi pia nina King of Stir Fry ya Watt 3500 kama ya Mwamba SPYMATE .
Cooktop ina mode 8 zilizosetiwa Mahsusi kama zinavyoonekana hapo chini:-
1.Slimmer 2000W
2.Steaming 3500W
3.Boiling water 3500W
4.Slow Fire 800W
5.Martial/strong fire 3500W
6.Hotpot 3500W
7.Boil porridge 2500W
8.Stir fry 240W
Hiyo no 2,3 na 5 zote ni 3500W ila mapigo tofauti.
Huwa nazitumia hizo badala ya kuset manual, Chai na maji ya kuoga natumia hiyo mode 3, kuchoma chapati na kupasha moto viporo Mode no 4-800W kukaanga Samaki na maandazi mode 8.
Wali napeleka mode 1 then namalizia mode 4 kukausha na hakuna cha kuunguza wala nini.
Nyama na Kande etc 3500w then nashusha
KUhusu kucheza Manual ili lina utofauti kidogo Maana lenyewe lina mfululiza ufuatao:-
1. 400
2.800
3.1000
4.1500
5.2000
6.2500
7.3000
8.3500
Umetisha 💯
 
Boss Mimi Nina familia ya watu 6 chai nachemsha kwa unit 0.4 mihogo ya kutosha familia nzima unit 0.8 jumla inatumika unit 1.2 na hapo tv imewashwa na chumba jirani anatupigia kelele na Sea piano lake hapo ni Jero tu imetumika ingekuwa mkaa huku Manzese ungetumia wa tsh 1200
Unit sahihi inazotumia jiko pekee kupikia sijajua Bado so J2 nitapika kilo 1 ya Maharagwe tuone.
Kwamba Chai tu itumike 400watts?
Hayo majiko yenu mabovu.
 
Bei zinatofautiana kulingana na ukubwa na material iliyotumika.
Kwa kuagiza ya kawaida moja moja inaweza kuwa 15K au 20K.
Yale ya stainless steel Hadi 70K.
Tz waweza kupata ila utembee na sumaku boss
Me nmeagiza pan 5 za nonstick za 14cm mpaka 22cm.

Nimelipa 30,000 tu, nasubiri kupokea.
 
Hujaelewa ni chai lita 3-4 inatumika unit 0.4 ndani ya dakika 8.
Hizo watts 400 sijui So umeziokoteza wapi boss?
Kanuni yetu ni:-
kWh = (watts × hrs) ÷ 1,000
Data given
:-
Watts= 3500
Hrs= 8Min (8÷60=0.13333)
Hence:- 3500*0.13333÷1000=0.466655.
0.4KWh ndio zimetumika kwa dakika 8 labda utuambie wewe unatumia watt ngapi boss
 
Back
Top Bottom