Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,361
- 5,879
Dunia tunayoishi ni Dunia ya mashindano. Maendeleo tunayoyaona sasa yametokana na mashindano yaliyochagizwa na wivu.
Sasa kama uko na site unajenga, ukiona marafiki wamekutembelea na wakaondoka na furaha tele, jua tu kuwa umesha 'poteza pambano'. Ukiweza rekebisha kwa kuboresha ramani ili waweze ku-appreciate jitihada zako.
Pia ukiona wameondoka kimya kimya ujue dozi imewaingia hiyo.