Ukitembelewa na marafiki site wakaondoka wanacheka cheka, ujue hujafanya kitu

Bemendazole

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
2,267
5,607
Dunia tunayoishi ni Dunia ya mashindano. Maendeleo tunayoyaona sasa yametokana na mashindano yaliyochagizwa na wivu.

Sasa kama uko na site unajenga, ukiona marafiki wamekutembelea na wakaondoka na furaha tele, jua tu kuwa umesha 'poteza pambano'. Ukiweza rekebisha kwa kuboresha ramani ili waweze ku-appreciate jitihada zako.

Pia ukiona wameondoka kimya kimya ujue dozi imewaingia hiyo.
 
Duu mkuu una umri gani. Fanya kitu ambacho moyo wako unairidhika. Unataka kuwazidi ramani yako ikubalike. Kuna wale watu wakijenga wanatangaza kuwa nitembelee unione.

Binafsi watu ndo MIE wananiuliza kuwa ivi umejenga huko unakoishi mana wanasikia kwa watu wengine walioniona.
Binafsi huwa napenda kitu durable na strong ila sipo kufanya kitu ili niwazidi wengine. Nafanya ambacho nafsi yangu inafurahi.

Kama unashindana utaweza kushindana na nyumba ambayo bilionea laizer anaishi kweli. Kiukweli usiwe yule mtu Wa kusubiria external compliment or assurance or appreciation ili ujikubali. Hii naiona kwa watu wengine sana ila nawahaurumia. Kuna jamaa mmoja alijenga kila MTU anamwambia amtembelee aone alipojenga.

Mpaka wake za watu ujue tena Wa marafiki zake na mbaya zaidi rafikiye akanasa mazungumzo yao. Akam mind sana. Akamwambia kuwa kwa ivyo namie nikijenga nimwambie Mke wako anitembelee.

Inaonekanaga sijui ni ulimbukeni Wa kitu amani ugeni mana sijui ulikuwa hujui kama utakuja kujenga maishani mwako. Ukinunua Gari unatangaza. Na ilhali mjukuu Wa trump hatangazi kuwa kanunua Gari ya bilioni moja.

Yani ni ile kukulia umasikini afu ukipata matako hulia mbwataaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaàaà
 
Ngoja tu organize Jf site visit ili tuka compliment huyu member mwenzetu afu turudi kimya kimya.
Mashindano niliaachia kidato cha pili nilikutana na jamaa hata iweje atakuwa Wa kwanza darasani.
Mmekutana wote mliokuwa mnaongoza darasani afu mnawekwa shule moja.
Nikajifunza maisha nikajua tunazidiana.
Amani samata akomae awe kama Ronaldo yani ni never never ever kubwa.
Kikubwa seti goals zako uone kama zinatimia ama hazitimii BASI pambana zitimie
Una umri gani mkuu....poor you!
 
Nina mpango wa kushusha mjengo wa L,U, msumbiji type na ------

Waje wacheke vizuri.

Chief maisha haya bado unaishi kwa kuangalia fulani na fulani, sio kuangalia kama moyo wako una furaha ama sio.
Ukiendekeza hiyo roho utakufa mapema kwa maradhi ya moyo au kurukwa na akili.
 
Na tusiokuwa na nyumba wala sehemu ya kufanyia ujenzi tuna comment wapi?
 
Dunia tunayoishi ni Dunia ya mashindano. Maendeleo tunayoyaona sasa yametokana na mashindano yaliyochagizwa na wivu.

Sasa kama uko na site unajenga, ukiona marafiki wamekutembelea na wakaondoka na furaha tele, jua tu kuwa umesha 'poteza pambano'. Ukiweza rekebisha kwa kuboresha ramani ili waweze ku-appreciate jitihada zako.

Pia ukiona wameondoka kimya kimya ujue dozi imewaingia hiyo.
Huwezi furahisha kila mtu lakini Pia kama una marafiki wa hivo na unajua, basi wao sio tatizo tatizo ni ww
 
Dunia tunayoishi ni Dunia ya mashindano. Maendeleo tunayoyaona sasa yametokana na mashindano yaliyochagizwa na wivu.

Sasa kama uko na site unajenga, ukiona marafiki wamekutembelea na wakaondoka na furaha tele, jua tu kuwa umesha 'poteza pambano'. Ukiweza rekebisha kwa kuboresha ramani ili waweze ku-appreciate jitihada zako.

Pia ukiona wameondoka kimya kimya ujue dozi imewaingia hiyo.
Duuh umeongea pumba mkuu.

Kufanya jambo lako ili kufurahisha watu au kusifiwa huo ni utoto na kutojitambua. Fanya kile unaona ni sahihi kwako ndani ya budget yako.
 
Dunia tunayoishi ni Dunia ya mashindano. Maendeleo tunayoyaona sasa yametokana na mashindano yaliyochagizwa na wivu.

Sasa kama uko na site unajenga, ukiona marafiki wamekutembelea na wakaondoka na furaha tele, jua tu kuwa umesha 'poteza pambano'. Ukiweza rekebisha kwa kuboresha ramani ili waweze ku-appreciate jitihada zako.

Pia ukiona wameondoka kimya kimya ujue dozi imewaingia hiyo.
Mkuu na wewe una elimu ya chuo kikuuu?
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom