Ukitaka Usiguswe na Serikali ya Sasa, Kimbilia Vyama vya Upinzani

Serikali imekua ikiona aibu kuwashughulikia wapinzani?Jiulize;
1.Simu ya Lissu iko wapi?
2.Simu ya Zitto iko wapi?
3.Lissu ana kesi ngapi mahakaman?
4.Wafuasi wangapi wa upinzani wapo mahabusu?
5.Wapinzani wangapu wamekamatwa kwa kufanya mikutano ya kisiasa?
Na bado Nyalandu akaenda Upinzani ili awe salama
 
Back
Top Bottom