Ukitaka Usiguswe na Serikali ya Sasa, Kimbilia Vyama vya Upinzani

BUSARA ZANGU

JF-Expert Member
May 5, 2013
779
1,267
Wakuu poleni na majukumu. Bila maneno mengi ngoja niende kwenye mada

Kutokana na hali ya siasa ya Tanzania inavyoendeshwa kwasasa ni salama sana kufanya siasa ukiwa Upinzani kwani serikali inahofu ya kuwashughulikia wanasiasa wa Upinzani hata kama wamevunja sheria kwakuwa wanaogopa kuambiwa wanakandamiza Upinzani.

Mfano mzuri tumeuona hivi karibuni ambapo aliyekuwa waziri wa zamani wa wizara ya Maliasili na Utalii na Mbunge ndugu Lazaro Nyalandu alipoamua kukimbilia Upinzani ili ufisadi alioufanya akiwa wizara ya Maliasili na Utalii usichunguzwe kwani akishitakiwa tu atakuwa na utetezi imara mahakamani. Na hivyo kwa kujua kabisa kwamba serikali haiwezi kumgusa akiwa Upinzani, na kwakuwa serikali imekuwa ikiona aibu kuwashughulikia Upinzani, basi ndugu Nyalandu akakimbikia CHADEMA.

Ndugu Nyalandu atakuwa ameona namna wapinzani kama Sumaye walivyotaka kunyang'anywa na Serikali mashamba yao ya Mvomero na Mabwepande lakini ikashindikana kwasababu angenyang'anywa watu Wangesema ni sababu Sumaye alihamia Upinzani.

Pia Nyalandu aliona namna ilivyokuwa ngumu kuharibu mazao na miundombinu ya bustani ya Mbowe kwakuwa Mbowe yeye yupo Upinzani.

Nadhani pia aliangalia namna ilivyokuwa raisi kumbomolea nyumba MaMa Lwakatare kada wa CCM, lakini ikawa ngumu kumbomolea Joseph Haule Mbunge kutoka CHADEMA japo pande zote zilikuwa na Mazuio ya mahakama.

Mnyeti, DAB, na wengine wangebaki CCM sijui wangepona vipi kwa tuhuma za Rushwa, udanganyifu, kufoji vyeti na ubabe dhidi ya Wananchi.

Kweli Nyalandu aliona mbali sana, Hata ingekuwa mimi ningekimbilia Upinzani.
 
Kwa serikali hii chochote kinawezekana hata ukimbilie wapi ni suala la muda tu
 
Naona anayewalipa buku 7 hayuko makini na kazi yake lakini mkae mkijua hizo ni kama dola 3 tu. Chenge, Tibaijuka,Jairo wako upinzani kumbe
 
Wakuu poleni na majukumu. Bila maneno mengi ngoja niende kwenye mada

Kutokana na hali ya siasa ya Tanzania inavyoendeshwa kwasasa ni salama sana kufanya siasa ukiwa Upinzani kwani serikali inahofu ya kuwashughulikia wanasiasa wa Upinzani hata kama wamevunja sheria kwakuwa wanaogopa kuambiwa wanakandamiza Upinzani.

Mfano mzuri tumeuona hivi karibuni ambapo aliyekuwa waziri wa zamani wa wizara ya Maliasili na Utalii na Mbunge ndugu Lazaro Nyalandu alipoamua kukimbilia Upinzani ili ufisadi alioufanya akiwa wizara ya Maliasili na Utalii usichunguzwe kwani akishitakiwa tu atakuwa na utetezi imara mahakamani. Na hivyo kwa kujua kabisa kwamba serikali haiwezi kumgusa akiwa Upinzani, na kwakuwa serikali imekuwa ikiona aibu kuwashughulikia Upinzani, basi ndugu Nyalandu akakimbikia CHADEMA.

Ndugu Nyalandu atakuwa ameona namna wapinzani kama Sumaye walivyotaka kunyang'anywa na Serikali mashamba yao ya Mvomero na Mabwepande lakini ikashindikana kwasababu angenyang'anywa watu Wangesema ni sababu Sumaye alihamia Upinzani.

Pia Nyalandu aliona namna ilivyokuwa ngumu kuharibu mazao na miundombinu ya bustani ya Mbowe kwakuwa Mbowe yeye yupo Upinzani.

Nadhani pia aliangalia namna ilivyokuwa raisi kumbomolea nyumba MaMa Lwakatare kada wa CCM, lakini ikawa ngumu kumbomolea Joseph Haule Mbunge kutoka CHADEMA japo pande zote zilikuwa na Mazuio ya mahakama.

Mnyeti, DAB, na wengine wangebaki CCM sijui wangepona vipi kwa tuhuma za Rushwa, udanganyifu, kufoji vyeti na ubabe dhidi ya Wananchi.

Kweli Nyalandu aliona mbali sana, Hata ingekuwa mimi ningekimbilia Upinzani.
Inashindwa nini kuwashughurikia kabla hawajatoka?
Katika wale wanaotajwa na bado hawajatoka, ni nani alishapelekwa Mahakama ya Mafisadi.
 
Serikali imekua ikiona aibu kuwashughulikia wapinzani?Jiulize;
1.Simu ya Lissu iko wapi?
2.Simu ya Zitto iko wapi?
3.Lissu ana kesi ngapi mahakaman?
4.Wafuasi wangapi wa upinzani wapo mahabusu?
5.Wapinzani wangapu wamekamatwa kwa kufanya mikutano ya kisiasa?
 
Back
Top Bottom