Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,000
- 55,143
Biashara zote hizi ukifanya guarantee ya kutoboa ni 100%, maana resource inayohitajika ni moja tu---WAJINGA.
Kwa bahati nzuri wajinga hawaishi na kila siku wanazaliwa wengine, kitu kizuri zaidi Wajinga wanatabia ya kurithishana ujinga,na kuulinda kwa nguvu zote.
Mfano wa biashara zilizofanikiwa kwa kutumia mtaji huu ni kama.
1. Manabii wa uongo,mfano,mwamposa,gwajima,yule wa kenya McKenzie ameuwa wajinga Zaidi ya 70 mpka sasa
2. Wanasiasa,mtaji wa wanasiasa ni kundi kubwa la wajinga
3. Dini,zote zinategemea wajinga kujiendesha,na kwakuwa wamejazwa imani ya kijinga, ukiwaelekeza wnakuona wewe ndio mjinga.
4. Kubeti- vijana na wazee, hapa huwaambii kitu,wajinga wengi wanategemea kutoba kwa kubeti, ndio maana kampuni za kubeti zimekuwa nyingi kama nzi
5. Michezo ya upatu,Mr kuku farm,kilimo cha vanilla,Q net,forever living, kyalinda,Dec, Jatu plc hapa hakuna haja ya maelezo mengi,wajinga kila siku wanapigwa na hawakomi
~Wajinga hawawezi kutofautisha kitu cha kweli,uongo,au uzushi,wao wanaamini kile wanachoambiwa,wanachoaminishwa, au wanachotaka kusikia tu.~