Ukitaka ufanikiwe haraka mtaji ni mmoja tu- Wajinga

Ukitaka ufanikiwe haraka mtaji ni mmoja tu- Wajinga

Alafu mjinga asome SASA , Moto unakuwa unawaka.


Maadui watatu ..

Ujinga
Maradhi
Umasikini .. Baba ya hawa wawili na mama Yao ni ujinga ..

Ujinga ni hermaphrodite uko na jinsia mbili .. unazalisha Maradhi na umasikini .. WA kipato plus fikra .

Kuna muda watu huwa wananiambia Kuwa naweza Kuwa tapeli nikawafanya wajinga mtaji wangu .. too bad I wasn't raised to be that .. if I were or I could Watasuffer.

Ila kuna mazuzu wanajileta , nikishindwa kula nyama nakula nyasi.
 
Hata Mimi ni mjinga haswa!!
Nakomaa na betting kifala alafu hakunaga faida

I'm very stupidity
 
Biashara zote hizi ukifanya guarantee ya kutoboa ni 100%, maana resource inayohitajika ni moja tu---WAJINGA.

Kwa bahati nzuri wajinga hawaishi na kila siku wanazaliwa wengine, kitu kizuri zaidi Wajinga wanatabia ya kurithishana ujinga,na kuulinda kwa nguvu zote.

Mfano wa biashara zilizofanikiwa kwa kutumia mtaji huu ni kama.

1. Manabii wa uongo,mfano,mwamposa,gwajima,yule wa kenya McKenzie ameuwa wajinga Zaidi ya 70 mpka sasa

2. Wanasiasa,mtaji wa wanasiasa ni kundi kubwa la wajinga

3. Dini,zote zinategemea wajinga kujiendesha,na kwakuwa wamejazwa imani ya kijinga, ukiwaelekeza wnakuona wewe ndio mjinga.

4. Kubeti- vijana na wazee, hapa huwaambii kitu,wajinga wengi wanategemea kutoba kwa kubeti, ndio maana kampuni za kubeti zimekuwa nyingi kama nzi

5. Michezo ya upatu,Mr kuku farm,kilimo cha vanilla,Q net,forever living, kyalinda,Dec, Jatu plc hapa hakuna haja ya maelezo mengi,wajinga kila siku wanapigwa na hawakomi


~Wajinga hawawezi kutofautisha kitu cha kweli,uongo,au uzushi,wao wanaamini kile wanachoambiwa,wanachoaminishwa, au wanachotaka kusikia tu.~
Betting haikufanyi kuwa tajiri
 
Back
Top Bottom