Ukitaka ufanikiwe haraka mtaji ni mmoja tu- Wajinga

Ukitaka ufanikiwe haraka mtaji ni mmoja tu- Wajinga

Nilikosea kidogo si unajua tena katecno kangu kamevunjika kioo[emoji23][emoji23]
Enewei nimeona vitu vizuri kwenye page yako ntakutembelea weekend hii boss wangu
Karibu sana Boss

INSTAGRAM @dollrubii_decors
 
epuka kuzungumzia mambo ya dini huku kuna watu wakubwa majaji walimu wa vyuo vikuu hapa tz nawajua so sema baadhi usitaje kwa ujumla
 
Si wakristo pekee hata dini nyingine.
Wapo wanaojitoa mhanga kwa ajili ya kulinda imani. Wapo wanalala njaa kwa ajili ya imani. Wapo wanaovaa mavazi ya aina fulani hata kama hawapendi ila tu wanalinda imani.

Imani ina nguvu kuliko unavyofikiria. Pasipo kutumia akili/maarifa watu wengi huangamizwa.

Kuna watu hawafanyi maamuzi yao binafsi hadi wamshirikishe kiongozi wa dini na atakachoambiwa ndicho atakachofanya.

Kumbuka hata Abraham alitaka kumtoa mtoto wake kafara kwasababu ya imani. Unadhani ingekuwa zama za leo, watu wangemchukuliaje?
Arusha waliwai kufalishwa maguni na kuzunguka mji mzima jmn jmn Ni hatari sna hyo kitu ,yaani walijifika magunia na matambal eti walilia mungu awasamehe dhambi zao
 
Bila kusahau wale mbuzi wa pale Kawe wanaoambiwa wakimalize wabakize Nauli tu
 
Kuna wale sabato masalia walienda airport wanataka waende Marekani bila nyaraka sahihi,kuna wafuasi wa kibwetere, ukiwaelekeza unaonekana umeingiwa na pepo.
Tutale radhi Wasabato, wale hawakuwa wafuasi wetu.
 
SIYO WAKRISTO TU

PIA KUNA WAISLAM WAJINGA KUPITILIZA ETI WAJITOE MUHANGA NA MABOMU WATAENDA AHERA,NA WANADAI WANAMTETEA MUNGU

MUNGU HATETEWI NA KIUMBE DHAIFU


PUMBAVU ZAO
Hiyo kujitoa muhanga embu zitaje hizo nchi waliofanya hivyo. Hapa kwa Africa nani umesikia kajitoa muhanga? Kwa wakristo tusiende Kenya hapa Tanzania watu walikanyagishwa mafuta hadi kifo.
Ingekuwa kujitoa muhanga ni suala la imani hata hapa ungeona yanatendeka.
 
Salam za yesu(Amina)
Salam za yesu(Amina)
Salam za yesu(Amina)
 
Ila wakristo wamezidi kwa kweli
Hebu angalia makanisa yalivyo kila sehemu
Na wanapata waumini kibao kwa kudanganywa

Hivi kweli unawezaje kumuamini mtu anakuambia anampigia simu mungu tena live kila siku na anajifanya kuwasikilizisha waumini na wanakubali na mchango wanatoa sadaka za uhakika

Jamani hebu muache upumbavu huu
View attachment 2598885
Huyo atakuwa Mackenzie waBongo🤸
 
Kuna wale sabato masalia walienda airport wanataka waende Marekani bila nyaraka sahihi,kuna wafuasi wa kibwetere, ukiwaelekeza unaonekana umeingiwa na pepo.
Wafuasi wa kibwetere wakijichoma Moto wakafa 😂😂
 
Biashara zote hizi ukifanya guarantee ya kutoboa ni 100%, maana resource inayohitajika ni moja tu---WAJINGA.

Kwa bahati nzuri wajinga hawaishi na kila siku wanazaliwa wengine, kitu kizuri zaidi Wajinga wanatabia ya kurithishana ujinga,na kuulinda kwa nguvu zote.

Mfano wa biashara zilizofanikiwa kwa kutumia mtaji huu ni kama.

1. Manabii wa uongo,mfano,mwamposa,gwajima,yule wa kenya McKenzie ameuwa wajinga 48.

2. Wanasiasa,mtaji wa wanasiasa ni kundi kubwa la wajinga

3. Dini,zote zinategemea wajinga kujiendesha,na kwakuwa wamejazwa imani ya kijinga, ukiwaelekeza wnakuona wewe ndio mjinga.

4. Kubeti- vijana na wazee, hapa huwaambii kitu,wajinga wengi wanategemea kutoba kwa kubeti, ndio maana kampuni za kubeti zimekuwa nyingi kama nzi

5. Michezo ya upatu,Mr kuku farm,kilimo cha vanilla,Q net,forever living, kyalinda,Dec, Jatu plc hapa hakuna haja ya maelezo mengi,wajinga kila siku wanapigwa na hawakomi


~Wajinga hawawezi kutofautisha kitu cha kweli,uongo,au uzushi,wao wanaamini kile wanachoambiwa,wanachoaminishwa, au wanachotaka kusikia tu.~
Naunga mkono hoja,watu(akina Mackenzie )wanatusua kupitia wajinga😂
 
Wanadamu wote ni wajinga kwa kiwango flani ndo maana shule zipo kuanzia za msingi hadi chuo kikuu na watu wanasoma bado ujinga hauwaishi asilimia 100. Wajinga ni wanotapeliwa ni watu wema tu wanatakiwa walimdwe na hao mbwa mwitu, na jukumu Hilo ni la serikali
 
Kiukwel wajinga ukiwakamata vizur hela zao zote wanakuwa wanakuletea wewe tu

Shida yangu ni kuwa kuna muda nawaonea huruma
Unawaonea huruma lakini wao wanakuona hujui chochote kuliko wao,badala yake wanakuonea huruma wewe,na kukuombea uwe kama wao wataomba.
 
Wanadamu wote ni wajinga kwa kiwango flani ndo maana shule zipo kuanzia za msingi hadi chuo kikuu na watu wanasoma bado ujinga hauwaishi asilimia 100. Wajinga ni wanotapeliwa ni watu wema tu wanatakiwa walimdwe na hao mbwa mwitu, na jukumu Hilo ni la serikali
Serikali muda mwingine si ya kuilaumu,
Kuna ishu moja iliyokea Dodoma, maafisa wa serikali wachomwa moto walienda kufanya utafiti tu,wakahisiwa kwamba ni wanyonya damu wakapigwa kiberiti.
Sometimes ujinga upo tu.
 
Wanadamu wote ni wajinga kwa kiwango flani ndo maana shule zipo kuanzia za msingi hadi chuo kikuu na watu wanasoma bado ujinga hauwaishi asilimia 100. Wajinga ni wanotapeliwa ni watu wema tu wanatakiwa walimdwe na hao mbwa mwitu, na jukumu Hilo ni la serikali
Hawa waliwekewa solar panel wakazivunja wanasema ni uchawi wa wazungu zinazuia mvua isinyeshe
VideoCapture_20230425-183821.jpg
 
Back
Top Bottom