Ukitaka ufanikiwe haraka mtaji ni mmoja tu- Wajinga

Ila wakristo wanajifanya wanaijua dini mpaka wanakuwa mambumbu
Kibwetele aliwachoma moto
Jamaa kawaambia wafunge halafu wamekubali kawapiga moto kweli wakristo wapewe maua yao.
Religion is an opium, hapa hawakukosea kabisa
 
Kuna uzi uko humu jf watu wanajadiliana kuhusu utajiri
Nani zaidi kati ya mondi na ayo
Watu mpaka wanatoleana mapovu
[emoji1]
Wote hao mulemule tu

Ova
 
Nilichogundua watanzania wanapenda mada za kubishana kwa kutumia "ujuaji na ubishi" sio kutumia akili na facts
 
Yule mch lusekelo naye
Anayanadi magari yake ya
Kifahari mbele ya waamuni
Wake na waamuni wamekaa
Kama mazoba tu

Ova
Hapo anawaambia mafala kuwa hizo ni hela zao
Na hao hao wakimuona masikini barabarani anaomba, hakika hata Mia 2 hawampi

Huwa nawashangaa sana anatoa hela anampa mchungaji eti sadaka

Hivi wanajua maana ya sadaka kweli
 
Mwamposa moshi huko aliwakanyagisha watu mafuta mpaka
Wengine wakafa,sasa tukio hilo linatofauti gani na la kenya
Alafu leo hii hyo hyo anakaribishwa bungeni na Ana tambulika
Nahisi wakati mwingine mfumo unawarmtumia hawa pia

Huko kimara kuna nabii naitwa kuhan
Mussa,kumuona tu unalipia hela [emoji1]
Nchi ina mazuzu wengi hii

Ova
 
Mwamposa moshi huko aliwakanyagisha watu mafuta mpaka
Wengine wakafa,sasa tukio hilo linatofauti gani na la kenya
Alafu leo hii hyo hyo anakaribishwa bungeni na Ana tambulika
Nahisi wakati mwingine mfumo unawarmtumia hawa pia

Ova
Inafikirisha sana kwakweli
 
Back
Top Bottom