Ukitaka raha ya ndoa kaoe mpare

karibia 50% ya marafiki zangu wakiume hulia kuhusu umalaya wa hao watajwa hapo thredini.. sasa sijui hii imekaaje ila mimi sijasema kitu hapo mana hayo nimeambiwa tu sina uhakika
 

pole sana m p a r e! udadisi wako huo ni kinyume chake nenda upareni ukaone wanaune wanavyobebeshwa ndoo za maji.
hawa watu ni
jeuri sana
wabishi
wana amri n k
 

well said mkuu
 
Last edited by a moderator:
Binafsi, naunga mkono wale wanaosema uzuri au ubaya wa kabila fulani ni tabia binafsi. Tuna mifano mingi ya kabila tofauti tofauti, ambako kuna wanawake wenye tabia nzuri, lakini kwenye kabila hilo hilo kuna wenye tabia mbaya (kama zinavyoainishwa kwenye thread hii). Mimi nimeoa upareni karibu miaka 20 sasa tuko pamoja, ingawa amekulia hapa hapa mjini, sina tatizo lolote na mke wangu, kifupi tabia alizozitaja MTENDAHAKI, anazo. Am proud of her! Tutoe comment kiustaarabu, kuliko kuleta ushabiki na matusi yasiyo na sababu!
 
wanaume ni wabinafsi sana,wababe,mwanamke kwao hana thamani,wabahili vibaya mno. Ila watafutaji wazuri wa hela,kuzitumia ndio nongwa,bora afe njaa kuliko kula chakula cha 1500.

Khantwe usimsikilize huyu..! Atakua katendwa ndio sababu. Sisi ni watu wazuri sana kitabia
 
Last edited by a moderator:
wanaume ni wabinafsi sana,wababe,mwanamke kwao hana thamani,wabahili vibaya mno. Ila watafutaji wazuri wa hela,kuzitumia ndio nongwa,bora afe njaa kuliko kula chakula cha 1500.

Hahahahaa hivi eeh?? Ule mpango wangu kwa Eli79 itabidi niukanseli..khaa
 
Last edited by a moderator:
Nani kakudanganya uku kwetu tunawaita chupi juu yakirinda hawana miko awo ata babaake analala nae kwao ruksa nani wao nakukuhakna tofauti

kweli kabisa hata anawezaliwa na baba yako yaani babamkwe wake mimi naunga mkono coz naishi nao na nawafahamu anayebisha aTAFUTE MPARE YOYOTE AWE MKE WA MTU AU ASIYE NA HATA MTOTO WA MIAKA 13 OMBA UONE UTAKUJA SHUHUDIA HAPA
 
Kwa hiyo hao wapare ndo wanaokuloga? You can't be serious kabisa, tatizo nyie mna ushirikina akilini mwenu, ukiamka kichwa kinauma lazma umfikirie mtu flani kakuloga. Kwa Hilo watz tumekuwa maskini kabisa.

Kila sehem hapa mjini kuna mipaka inalia kama watoto wadogo na paka kulia ni jambo la kawaida na wala sio uchawi. Ila kwa vile mpare ni jirani yako basi eti jamaa anasema kalogwa Jamaniiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…