Ukitaka raha ya ndoa kaoe mpare

Kazi kweli kweli bwashe...! Mie ninao masista kibao..nawakaribisha wote wenye uhitaji wa kuoa.

ni wakorofi ndo maana hawaoleki,endelea kukaribisha usichoke,hivi lami imeshafika kikweni?
 

umefanya uchunguzi au umesikia?
 
Last edited by a moderator:

ila umesahau ile sifa yao wote ke na me- ubahilisation.
 

Kwenye RED nakuunga mkono kabisa na kwenye Blue pia ninao ushahidi wa mwanaume, We acha tu ni watu wa ajabu kidogo ingawa ndo hivyo ni watanzania wenzetu
 
Nani kakudanganya uku kwetu tunawaita chupi juu yakirinda hawana miko awo ata babaake analala nae kwao ruksa nani wao nakukuhakna tofauti

teh! wakija dar pichu wanatupa mto wami
 
kumbe na we mpare, haya tuambie anachosema ni kweli au anapaka mafuta kwa mgongo wa chupa

naona unaanza kuvutika kidogo kidogo,usije mpiga chini mdogo wangu bhana,huyu anawapaka mafuta tu wang'ae,mambo yote yako kule
 
naona unaanza kuvutika kidogo kidogo,usije mpiga chini mdogo wangu bhana,huyu anawapaka mafuta tu wang'ae,mambo yote yako kule

yule mtoto wa kichaga, Sina hata jeuli ya kumwacha nitapata wapi kama yeye, Sifa zote hizi anazo shem.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…