MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,448
- Thread starter
-
- #181
Gefu@ hizo ni ufupisho tu, kwani zingine zipi zilizosahaulika mkuu!....hahahaaa na jilazimisha kuamini kama hizo ndo sifa na vigezo vya raha ya ndoa sioni hata kimoja chenye uhusiano na raha ya ndoa directly. Ninachoona hapa no kuna mwanamke Wa kipare mwenye sifa hizo umemtamani na umemchoka mkeo basi. wanawake kibao wanahizo sifa na zaidi na bado ndoa zao ni majanga na wengine hawana ila wanandoa bora.....
Nakubaliana na wewe mkuu Ighombe hasa sehemu zenye red, nimeziona kwa macho yanguHilo si kweli kwa sababu zifuatazo:-
(1)Wapare wamesomesha watoto wao.kama wangekuwa bahili wasingesomesha
(2)Wapare wamejenga na wanaishi nyumba bora.
(3)wana afya zao kuonyesha wanakula vizuri (suala la ubahili ni uzushi) hawana historia ya watoto wao kutuhumiwa kwa kwashakoo kama kabila fulani sitalitaja.
ACHENI UZUSHI !
kwani akichepuka wadhani atakuja kukuambia nimechepuka take care
Kati ya kabila ambalo usithubutu kuoa ni hilo hapo:
1.Ni wafitini sana na wenye majungu wasiotaka maendeleo
2.Wanapenda sana ushirikina kupita kiasi na ushahidi ninao kwa wanawake zaidi ya kumi
3.Ukioa huko wakwe wanahamia kwako wote kule kwao wanahama
4.Hawapatani na majiran hata watendewe wema vipi
5.Wanapenda sana chini a.k.a michepuko
USHAURI: Usithubutu kukutwa utajuta maisha yako;;;;;;;;;;;;;
Nadhani hizo sifa zilizotolewa na MTENDAHAKI ni kinyume......
Miongoni mwa makabila yenye anawake ngonolist ni wapare. Wanapenda kugegedana, jiandae kuibiwa
Nimebahatika kutembelea sehemu mbali mbali zenye makabila tofauti Tanzania; Nimejitahidi kuwa mchunguzi kwa kushuhudia na kuongea na ndugu, jamaa na marafiki walio katika ndoa!Nimegundua wanaume wengi waliooa kabila la kipare wanfuraha sana ndani ya ndoa zao.
Sifa kubwa zilizosemwa na wanandoa hawa wa kiume wa makabila toka kusini mpaka kaskazini, mashariki mpaka magharibi ni kama zifuatazo:
1. Wanawake wa kipare wanamheshimu sana mume na ni waaminifu sana
2. Sio wepesi wa hasira na hawana visasi
2. Wanawake wa kipare ni wakarimu sana kwa wageni wa pande zote mbili kwao na ukweni, na hata kwa marafiki!
4.Wanawake wa kipare wanajua sana kulea watoto katika maadili mema
5.Ni wachapakazi sana
Hizi ndizo sifa nilizoweza kuzifupisha kutokana na udadisi wangu.
HONGERA WAPARE, NATAMANI NINGEKUWA SIJAOA HUYU MCHAGA
WANGU!NINGEENDA UPARENI!
kaskazini yote mabinti zao hawafai ndani...
kaskazini yote mabinti zao hawafai ndani...
Hakuna aliyewashikiwa bunduki muwafuate. Ukimjua Mungu atakupa mke mwema regardless ya kabila wala utaifa.
mie naomba kujua sifa ya wanaume wa kipare - sitafuti ila naomba tu kuipata :smow:
Fungukeni - maana sifa nazozipata za ajabu ajabu tu