This is how China trains the kids and shape them to be the future Olympians. A recent article published by Daily Mail showed the brutal ways of training kids in China. Here are a few images from the Nanning Gymnasium in Nanning, China.
Mtanzania yupi atakubali kumwandaa mwanae namna hii? Kwa hiyo msilalamike kama vijana hawajaleta medali, hazziji burebure tu.
Hahaha so fani so sadi acha tuendelee kutalii. China inaongoza kwa medali ikifuatiwa na USA sasa USA wanafanyaje? Maana sisi mazoezi tunafanya wiki tatu za mwisho kabla hatujapanda pipa uelekea huko.