Ukitaka kuwa masikini endekeza michepuko

Gloriamagret

Member
Jun 12, 2023
47
155
Kila siku utasikia nipe pesa ya school bus ya mtoto, nipe pesa ya kula, simu mbovu, nimefiwa, kesho Birthday yangu wiki ijayo ya mtoto nk.

Bado naomba nauli nimefiwa kodi ya nyumba imekwisha, umeme, gesi nk.

Pamoja na yote hayo kumbuka wewe ni boya tu na mko zaidi ya kumi sema mmepangiwa ratiba.siku.ukiambiwa leo sipo ni zamu ya mwenzio.

Kila meseji ya kuomba pesa pesa mmetumiwa watu kumi na wajinga tano mtatuma.

Pesa zako hizo hizo kuna mmoja ampendae na anabembelezwa waje watumie tena anampigia mbele yake kuwa huyu ni bwege wangu.

Ukija kushtuma umri umekwenda au umestaafu na hakuna ulichofanya na kuanza kuwaona wenzio waliofanikiwa ni wezi.

Toka usingizini michepuko ni majanga kwako na uzee wako utakuwa wa shida na mateso makubwa kwako na familia yako.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Hivi kama una mke nyumbani ya nini kuhangaika na michepuko hata kama una fedha za kuwapa? Unakuta zee linahangaika na binti mdogo mpaka linamnunulia simu kali ya smart ya bajeti kubwa wakati mke wake ana simu kitochi.

Hawa wazee ni wapumbavu kuwaharibia mabinti wasipate waume sahihi wa kuwaoa na kuunda famili zao zinazoeleweka. Ni kweli michepuko inafilisi, utajikuta familia yako haipati mahitaji muhimu, michepuko inakomba hela zote
 
Uko sahihi ila sasa hakikisha hukosei kuoa, sio unaoa mtu hujawahi mfatilia kabila lake, tabia zake na vitu vingine. Sasa unakuta mtu wa Mwanza anatafuta Wamakonde, alafu ukichapiwa uanze kusema ndoa ni Utapeli, michepuko ni dili. Sometimes naona intertribal marriages is the cause of all of these. Eti mtu mpole unamuoa mchagga au mtu wa arusha, kwanini asikuendeshe?

Ukikosea kuoa utatafuta mchepuko.
 
Bila kuzingatia mafundisho ya dini ,kuchepuka hakuepukiki, sababu binadamu wakikaa pamoja wanazoeana. wanachukuliana poa.Na kwa asili nafsi zetu hupenda New taste tukizingatia mafundisho ya dini dhamiri zetu zitatusuta kufanya tofauti.
 
Hivi kama una mke nyumbani ya nini kuhangaika na michepuko hata kama una fedha za kuwapa? Unakuta zee linahangaika na binti mdogo mpaka linamnunulia simu kali ya smart ya bajeti kubwa wakati mke wake ana simu kitochi.

Hawa wazee ni wapumbavu kuwaharibia mabinti wasipate waume sahihi wa kuwaoa na kuunda famili zao zinazoeleweka. Ni kweli michepuko inafilisi, utajikuta familia yako haipati mahitaji muhimu, michepuko inakomba hela zote
Hizi zote akili za kitoto tu, kama wewe ulibahatika kupata mke mwema shukuru Mungu, nakumbuka wakati naanza kazi nikiwa kijana wanakuja watu wazima wakinieleza ndoa zao mambo yanavyokwenda mrama karibu na kuzama kama siyo kuzama kabisa nilikuwa nabaki speechless! Mtu mzima anakueleza mambo makubwa ya ndani ya familia ambayo wewe huna uzoefu nayo kabisa tofauti na kuyasoma kwenye novels ambako wakati mwingine ule uhalisia hatuupati sana. Jamani hizi ndoa zinamatatizo mengi sana, don't generalize your world to be everybody's. Waswahili waliposema kitanda usichokilalia hujui kunguni wake hawakukosea, pia binadamu tuna level tofauti za kuvumilia mambo.
 
Kila siku utasikia nipe pesa ya school bus ya mtoto, nipe pesa ya kula, simu mbovu, nimefiwa, kesho Birthday yangu wiki ijayo ya mtoto nk.

Bado naomba nauli nimefiwa kodi ya nyumba imekwisha, umeme, gesi nk.

Pamoja na yote hayo kumbuka wewe ni boya tu na mko zaidi ya kumi sema mmepangiwa ratiba.siku.ukiambiwa leo sipo ni zamu ya mwenzio.

Kila meseji ya kuomba pesa pesa mmetumiwa watu kumi na wajinga tano mtatuma.

Pesa zako hizo hizo kuna mmoja ampendae na anabembelezwa waje watumie tena anampigia mbele yake kuwa huyu ni bwege wangu.

Ukija kushtuma umri umekwenda au umestaafu na hakuna ulichofanya na kuanza kuwaona wenzio waliofanikiwa ni wezi.

Toka usingizini michepuko ni majanga kwako na uzee wako utakuwa wa shida na mateso makubwa kwako na familia yako.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Hili nalo mkalitazame
 
Hivi kama una mke nyumbani ya nini kuhangaika na michepuko hata kama una fedha za kuwapa? Unakuta zee linahangaika na binti mdogo mpaka linamnunulia simu kali ya smart ya bajeti kubwa wakati mke wake ana simu kitochi.

Hawa wazee ni wapumbavu kuwaharibia mabinti wasipate waume sahihi wa kuwaoa na kuunda famili zao zinazoeleweka. Ni kweli michepuko inafilisi, utajikuta familia yako haipati mahitaji muhimu, michepuko inakomba hela zote
Watu wangekuwa na mawazo kama yako kusingekuwa na vilio kwenye mahusiano Wala ndoa,maana ndoa nyingi zimevunjika kwa sababu ya michepuko
 
Back
Top Bottom