Ukitaka kuwa masikini endekeza michepuko

Moja ya madhara ya zinaa ni pamoja na umasikini na laana.......

Mimi kwa uzoefu wangu na kwa kesi nyingi nilizopokea za mambo haya ya ndoa ni kuwa msingi mkubwa wa kukosekana kwa amani na utulivu kwenye ndoa kunatokana na mambo makubwa yafuatayo......

1) Mawasiliano duni baina ya wanandoa...
Asilimia tisini ya matatizo ya kwenye chumba Cha wanandoa yanatatuliwa kwa kuzungumza.....kama watu mlikutana mkazungumza mkaelewana mpaka mkafunga ndoa kwanini iwe vigumu kuyaongelea mambo yenu ya ndani na kuyamaliza pasi na kudhalilishana.......???

2)Kiburi na dharau ndani ya ndoa.....
Mwanandoa mmoja anapohisi hathaminiwi na kusikilizwa na mwenzi wake ambaye ndio mtu wake wa karibu hujiona hana maana na hana thamani kwenye dunia hii...... lakini kwa kuwa hilo ni jambo la msingi maishani mwake lazima atatafuta comfort nje ya ndoa na hapo ndipo huzaliwa michepuko.........

3)Kukosea kuoa....
Wakati mwingine watu hufanya maamuzi makubwa ya ndoa kutokana na misukumo fulani kulingana na nyakati au mazingira huskia.....ule msukumo na mazingira yakiisha hujikuta hana furaha kwenye muunganiko huo na kujiona mpweke....... muendelezo wa hali hiyo hupelekea maugomvi na kukosekana kwa amani ndani ya ndoa na mwisho wa siku watu wanaamua kuishi bora liende........

NB;
Ndoa ni taasisi iliyojaa changamoto na purukushani za kila aina chagua mtu sahihi mtakayeweza kuvumilia naye changamoto hizo kwa upendo na amani.........
 
Uko sahihi ila sasa hakikisha hukosei kuoa, sio unaoa mtu hujawahi mfatilia kabila lake, tabia zake na vitu vingine. Sasa unakuta mtu wa Mwanza anatafuta Wamakonde, alafu ukichapiwa uanze kusema ndoa ni Utapeli, michepuko ni dili. Sometimes naona intertribal marriages is the cause of all of these. Eti mtu mpole unamuoa mchagga au mtu wa arusha, kwanini asikuendeshe?

Ukikosea kuoa utatafuta mchepuko.
Kwahiyo mwanamke wa kimakonde kupigwa nje ya ndoa ni kawaida!?
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Acha uongo ndugu

Naongea kama wa kusinl kila kitu ni tabia ya mtu japo ni kweli tunapendaa kukulana ila sio kiasi hiko
Umesema mwenyewe hapo mnapenda kukulana, hii ni jadi ya watu wa Kusini kwasababu ukoo wetu umeishi huko, mimi nimesoma shule kubwa pale Kusini ya serikali. Nilikuwa nawazoom tu, watu wa Kusini hasahasa Mtwara wana tabia mbovu sana, hapa nimewasitiri tu.
 
Acha uongo ndugu

Naongea kama wa kusinl kila kitu ni tabia ya mtu japo ni kweli tunapendaa kukulana ila sio kiasi hiko
Nasema nilichokiona na nilichokishuhudia, ukoo wetu ulikaa miaka 19, ila wote walitoka na clean sheet, hakuna aliyekubali kuoa Mmakonde au Mmakua.
 
Huu mtego nimefanikiwa kuukwepa.... Michepuko ni hatari Kwa uchumi binafsi...
Njia nilizotumia:
1. Kwakua mbunye nyingi nilizipatia club, nikapiga chini kwenda club(Hapa wengi walisema nimewekwa kwenye chupa)
2. Nikaanza kuwa jirani na familia yangu, Hapa niligundua mengi:
a) kwakua mala nyingi jioni nilikuwa club, nilikosa information nyingi kuhusu familia yangu, mfano siku Moja mida ya jioni dogo kachelewa kutoka shule anaingia ndani dole gumba lipo nje ya kiatu kiufupi kimeoza. Siku nyingine dogo kavaa kishati kimemruka kama njiwa. Kuna sauti ikanijia na kusema "Tatizo ni wewe umetelekeza familia yako"
b) Nikagundua kwamba nimecheza sana na muda kipindi hicho hakuna kiumbe kilichoshinda mbele ya muda.
c. Nikaja kusanuka, kumbe masaa mengi inabidi uwe na familia yako na sio marafiki zako.
Thanks GOD now I can feel the sunshade
 
God1stFamily2nd
 
Hongera umejitambua, Bora kuwa karibu na familia ambao ukitoka wanakulilia kuliko marafiki ukiwapa mgongo wanakusnitch.

Mtume Muhammad (S.A.W) anasema "Mbora wenu ni Yule aliye bora Kwa familia yake"
 
Nakubali
 
Back
Top Bottom